Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

How many times would a man fall in love in his life time?
5 Reactions
4 Replies
684 Views
Uzuri Mimi pamoja na ulevi wangu nimekaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili sijui labda kwa sababu alikuwa mdogo ama alinipenda sana ila kila mwaka wenye siku 365 za mwaka nimegonga zaid ya siku...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi. Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto)...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu...
60 Reactions
269 Replies
26K Views
Mjini mimi sio mwenyeji sana na wala sio mgeni pia, siyo chini ya mara tatu katika sehemu tofauti tofauti nikiwa kwenye mishemishe zangu nakutana na mwanamke [sio mmama] akiwa na mtoto, mtoto...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakiwachukia ndugu za waliofanikiwa. Yaani ukikaa na mtu ukimsikiliza utamsikia katika story au maongezi yamejaa chuki na hasira...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida. Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua...
20 Reactions
92 Replies
7K Views
Habari wana JF naitwa Alfredy (23) nahtaj rafiki wa kike ili tuwe wachumba then ndoa Mungu akijaalia.
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Hello, Leo nimeamka nimewaza na kuwazua na walla sijapata jibu. Kwanini kitendo tunachokiita mapenzi kufanyana kimekuwa kina nguvu sana kuliko kitu chochote kile duniani. Imeonekana ni Dhambi...
3 Reactions
11 Replies
634 Views
1. Ukiona muda mrefu umepita au mwanamke ambaye huwa hana kawaida ya kukutafuta amekutafuta. Ujue kinachofuata baada ya DEAR MAMBO, I MISS YOU. ni kuombwa Pesa. Ujue atakueleza shida flani kapata...
5 Reactions
4 Replies
863 Views
Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Inakuchukua muda gani kusahau yale maumivu baada ya kuachwa na mtu umpendae?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna hii kasumba kwamba mwanamke akifunguka kwa mwanaume kwamba amemuelewa; basi labda atajishushia heshima; kwetu sisi wanaume (sio wavulana), kasumba hii haina ukweli hata kidogo. Nimeandika...
14 Reactions
145 Replies
6K Views
Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu. Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki...
29 Reactions
113 Replies
5K Views
Kwa kawaida, wanaume wengi wanapenda kuoa mabinti wenye umri mdogo. Ndio maana wanawake wengi wenye umri mkubwa wanapigania ndoa zao kuliko wanaume. Na wanawake wengi wasio na waume ambao...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
SIKU YA KWANZA HONEY MOON! Katika umri wangu wote wa miaka 30 sikuwahi kutembea na mwanamke zaidi ya kuota kwenye ndoto, Ukiachana na tabia yangu ya kuangalia video za ngono pamoja na kupiga...
13 Reactions
59 Replies
8K Views
Natumai hamjambo wakuu Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaoshare jina, karibu hapa kushare tabia zao, binafsi nimebahatika date na wana-oshare majina yafuatayao na hizi ndo tabia zao...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi...
62 Reactions
135 Replies
9K Views
Naomba bei elekezi ya Tagged kwa mkoa wa Dar es salaam Uzi tayari
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu salaam... Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…