Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Habari zenu Wakuu.
Kama kuna jambo halina formula na halieleweki kwa njia yoyote ile eg. Mahusiano, kazi, biashara n.k basi nakushauri achana nalo.
Usijitese akili kwa jambo ambalo haulielewi...
MSICHOKIJUA KUHUSU DADA WA KINYAKYUSA (MBEYA)
Msikurupuke tu kuoa Dada zetu kabla hamjahesabu gharama.
Hivi kwanini nyie wajanga hamjiulizi wanapooana mnyakyusa kwa mnyakyusa ndoa inaenda tu, ni...
Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia.
Nilipoingia kwenye biashara na...
Kila msichana ana ndoto ya ndoa ambapo anaishi "kwa furaha milele" na mumewe. Lakini ukweli una njia ya kutuambia kwamba hadithi na sinema ni hati zilizoandikwa na kuigizwa kwa burudani yetu...
https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-tunauishi-upendo-halisi-ama-ulio-kizuizini.2154202/
Je, ni kweli tunauishi upendo halisi ama ulio kizuizini?
Habari!
Maumbile ya mtu si jambo la kukosoa kwani hakuna anayejiumba yeye. Miongoni mwa tafiti zangu zilizofanikiwa kwa 99%, ambazo si rasmi, ni hili suala la vitovu, hasa kwa wanawake.
Kwa...
Story fupi yenye mafunzo kwenu wanawake.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile...
Wakuu mulibwanji?
Nipo njiapanda, ninaishi na mwanamke wangu na nduguye kwa muda sasa, tatizo limekuwepo la dada mtu na mdogo mtu kupishana mara kwa mara kitendo ambacho kimepelekea kuwepo kwa...
Jamani jamani wanawake mtatuua na sisi wanaume tumebaki wachache sana.
Ndugu yapata nilijichanganya kwa mwanamke aliyekua ananielewa na kunipenda sana ila mimi nilikua nakaza fuvu kwa makusudi...
Habari zenu wana jamvi.
Nisiwachose sana.
Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari..
Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari...
Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea.
Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana...
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa...
1. Never take photos with him/her.
2. If you called and she/he hangs up, don't call back immediately.
3. Never text love-messages.
4. Satan should not tempt you to sleep at his/her house even...
Nadhani tumeshawahi kuona katika baadhi ya ndoa iwe ukumbini au kanisani unakuta bibi harusi anaanza kumwaga machozi
Wapo baadhi ya watu wanapoona hali ile wanasemezana kwamba "umeona analia...