Kama jambo lolote halieleweki achana nalo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Habari zenu Wakuu.

Kama kuna jambo halina formula na halieleweki kwa njia yoyote ile eg. Mahusiano, kazi, biashara n.k basi nakushauri achana nalo.

Usijitese akili kwa jambo ambalo haulielewi Mkuu, maana utulivu wa akili ni bora kuliko mawazo yasiyoeleweka.

Ukiona mahusiano ni jambo gumu basi nakushauri achana nayo kuliko kujitesa kwa jambo ambalo kukaa mbali nalo ndio amani yako.

Kitu chochote kinachokunyima amani/furaha nakushauri achana nacho.

NB: Usifanye jambo kwasababu kuna watu wanafanya, angalia amani yako zaidi.
 
Hakuna anaependa kujitesa kama kuna uwezekeno wa kuepuka suala flani hususani kama ni la lazma.

By the way, maisha bila stress ni nadharia tu ambayo haina uhalisia Ila ni vile tu binadamu tumetofautiana uwezo wa kiwango chake na uweze wa kuzistahimili.
 
Habari zenu Wakuu.

Kama kuna jambo halina formula na halieleweki kwa njia yoyote ile eg. Mahusiano, kazi, biashara n.k basi nakushauri achana nalo.

Usijitese akili kwa jambo ambalo haulielewi Mkuu, maana utulivu wa akili ni bora kuliko mawazo yasiyoeleweka.

Ukiona mahusiano ni jambo gumu basi nakushauri achana nayo kuliko kujitesa kwa jambo ambalo kukaa mbali nalo ndio amani yako.

Kitu chochote kinachokunyima amani/furaha nakushauri achana nacho.

NB: USIFANYE JAMBO KWASABABU KUNA WATU WANAFANYA. ANGALIA AMANI YAKO ZAIDI.
💯

Kwema lakini...????
 
Back
Top Bottom