Utafiti rasmi: wanawake wenye vitovu vikubwa wana aibu kuvua nguo.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Habari!

Maumbile ya mtu si jambo la kukosoa kwani hakuna anayejiumba yeye. Miongoni mwa tafiti zangu zilizofanikiwa kwa 99%, ambazo si rasmi, ni hili suala la vitovu, hasa kwa wanawake.

Kwa kweli wanawake wengi wenye vitovu vikubwa wana aibu mno ya kuvua nguo wakati wa tendo. Vice versa is true!
Prior to this, the same applies to men.

Wanawake wenye vitovu vikubwa kwa nini mna aibu? What makes you ashamed?
 
Hii nchi, Bora Mungu aifute hapa duniani, maaana watu wengi ni useless kabisa, dunia IPO kwenye maumivu ya Vita, Mashariki ya Kati, na ukraine, maisha yapo juu, harafu kuna mtu anachowaza ni maumbile ya mwanamke!
Seriously
 
Na wana ndoto ya uchumi wa buluu
 
Hii nchi, Bora Mungu aifute hapa duniani, maaana watu wengi ni useless kabisa, dunia IPO kwenye maumivu ya Vita, Mashariki ya Kati, na ukraine, maisha yapo juu, harafu kuna mtu anachowaza ni maumbile ya mwanamke!
Seriously
Kila jukwaa lina muktadha wake. Sasa hivi unanikuta MMU, na post mahusiano na masuala ya maumbile, baadaye unanikuta Habari na Matukio. Sijui umeelewa?

Muktadha wa Ukraine na Urusi SI wa jukwaa hili.
 
Back
Top Bottom