Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu Wakuu. Kwenye pitapita zangu JF nikakuta na Uzi kuna dada analalamika kuwa Uchumba na mume mtarajiwa kuelekea ndoa unakizuizi cha Dhehebu la Dini. Aisee! Ukiusoma ule uzi utaona ni...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kukataa sana kuoa huku nikidai kuoa ni anasa na ni gereza kwa mwanaume, hasara kwenye maisha ya mwanaume, na ajira ya faida kwa mwanamke. Sasa naona sina budi kukubaliana na kuoa nafsi...
21 Reactions
68 Replies
4K Views
WanaJF Kunamuda tamaa inakua juu sana, mtoto wa kike anakupa utamu na mkuyenge unasusa kutuna kwa lengo la kuzagamua, ndugu wanawake na wakisha jua mwamba mkuyenge umekususia anajifanya ndiyo...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani. Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza. Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa...
21 Reactions
459 Replies
10K Views
Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja. Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
I have been looking for a girl to call her a future wife, but I haven't find one who fits my criteria. I am 23, taking bachelor's degree in business administration second year. I need someone to...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Jumatatu njema kwenu nyote! Ninaishi kwenye apartment kwa muda now, dirisha la chumba changu lipo karibu na njia/street road ya hostel moja ya wanafunzi wanachuo wa kike. Hivyo wakati mwingi...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo...
1 Reactions
7 Replies
807 Views
Dada Yangu, Ni kweli wewe ni mzuri sana wa sura, tumekubali. Ni kweli mwonekano wako na shepu lako linaweza kumvutia kila mwanaume rijali, hili pia tumekubali. Ni kweli umesoma sana, elimu nzuri...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wiki hii nilipata safari ya kikazi mkoani kwetu Iringa -mafinga. Baada ya kuisha kwa ukaguzi na kuandikia ripoti ya kazi zangu nikaamua kujisogeza nyumbani sababu sijaenda kuwasalimu miaka kadhaa...
10 Reactions
120 Replies
8K Views
Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo...
75 Reactions
179 Replies
27K Views
Wakuu mulibwanji...? Huku mambo yote ni yoriyori. Mfanyakaz mwenzangu amenishrikisha jambo lake na mpenzi wake wanayeishi nae sasa ni miez 7 imepita jana nilikuwa kwao kujua kulikoni shemeji...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe. Mwanamke...
4 Reactions
9 Replies
939 Views
Hamjambo nyie? Naomba niende madani directly. Hakuna kitu kinacholeta kinyaa na kero kama pale mwanamke mwenye kitambi anapofungua mkanda/chupi na kitambi kumwagika 'pwaaaa'. Inakera. Achilia...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna uzi nimeusoma kuwa kuna mwanaume umefarik na kuacha watoto wawili wa nje ya ndoa ambao waliletwa kwenye msiba wa Mwanaume huyo. Ukiangalia kwa umakini utaona upuuzi wa Mwanaume ndio unaleta...
21 Reactions
169 Replies
7K Views
wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini, Kama kawaida yangu, kuna siku nilipita mahali flani chimbo kupata huduma yetu pendwa, mdada classic, short time tsh elf 7, kufika chumbani nkamwambia alale kwa tumbo ili nikojoe haraka...
15 Reactions
82 Replies
5K Views
Kwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji. Haya ni mawazo huru tu. Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice) Hii sauti inatosha wakuu au...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…