Maneno niyasikiayo ya hawa mabinti yananisikitisha sana!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Jumatatu njema kwenu nyote!

Ninaishi kwenye apartment kwa muda now, dirisha la chumba changu lipo karibu na njia/street road ya hostel moja ya wanafunzi wanachuo wa kike.

Hivyo wakati mwingi huwa nasikia mengi wanayoongea huko nje wakipita. Hayo huwa yananisikitisha mno, ukizingatia ni mabinti wadogo.

Zifuatazo ni baadhi ya kauli zao na mazungumzo yao na vijana wa kiume.

1. Mwanamke: wewe John (si jina halisi) hivi siyo 'msenge' kweli? Maana siyo kwa utaahira huo.

John: hahah ndiyo, na hata wewe ungekuwa mwanaume mbona fresh tu.

Aisee vijana wa kiume wamefika hapa. Mazoea ya kijinga na akina dada.

2. Mwanamke: ila anapenda kujichekesha chekesha mno. Anacheka cheka kama chizi.

Mwanamke mwenzake: eeh halafu kama 'senge' hivi.

Huyu kijana anajua kwamba ukiwa romantic, mtu wa kutabasamu kila mara basi utawavuta wadada. Kumbe nyuma wanamng'ong'a na kumcheka masikini. Anajichoresha.

3. Mwanaume: hahahaha wewe nipe namba yako jamaniiii.... hahahaha niachie basi bhana... hahahaha ila mgumu wewe.

Mwanamke: hayo ya ugumu unasema wewe, sitoagi namba(akiwa straightforward).



Aisee hali ya vijana wa kiume huko duniani ni mbaya mno. Yaani nikipiga jicho langu ALPHA MALES naona ni vijana wachache mno. Tunaelekea shimoni!

Sifa za kijana alpha male:

1. Anajua ku manipulate. Anaweza kujifanya mtu mwenye aibu aibu ila ni katili na jasiri mno. Ana confidence na HANA AIBU.

2. Huwezi kumtishia kijana alpha male anapokuacha kuwa utamtangaza au utavujisha clip zake. Huwezi. Na hutoweza.

3. Huwezi kuitwa na kijana alpha male saa nane halafu ukatokea saa kumi pasipo sababu za msingi na ukaachwa hivi hivi. You will pay for that.

4. Hawapelekeshwi na maisha ya tamthilia na maneno ya watu. Waamualo WAO ndilo lifanyikalo. Hutaki tembea.

5. Alpha male huwezi kumnyong'onyesha kwa maneno kuwa ana uume mdogo, mara kimoja chali nk, huwezi na hutoweza. Piga ua garagaza. Anajiamini hata kama hana uume.

6. Alpha male doesn't care about you, he cares about his interests. He uses and dumps you like a toilet paper(hii itategemea na mwanamke alivyo)

7. Alpha male hajali, hana aibu, anaweza kukufanya chochote mbele ya yeyote.

8. Alpha male ni mtu wa budget kali. Anaweza akakulala na asikupe hata mia ingawa ana uwezo huo. Anaweza kufanya hivyo kwa sababu zake.

9. Alpha male hatoi hela kizembe zembe.

10. Huwezi kumdanganya wala kum manipulate kwa LOLOTE an alpha male.

11. Alpha male humwambii lolote. Ni mjanja in nature, anajikubali, anajipenda, na ana pesa.


Alpha males ndiyo wanaishi maisha wanaume wengine wanatakiwa waishi.

Kawaida mwanamke ndiye wa kumgombania mwanaume kwa sababu wanaume ni wachache. Mwanaume anatakiwa avimbe.

Mwanaume hatakiwi kulia lia. Wote tunahitaji ngono, isifanyike kama ni hitaji la mtu mmoja tu la mwanaume.

Aisee! Ahsante sana mzee pamoja na ni mkubwa kwa kunifunza kuwa alpha male. Nayaona matunda sasa.

No any fool can manipulate me for anything!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom