Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula...
Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram...
Ni leo tena. Nipo kwa dala dala nimekaa na binti tunaelekea njia moja. Nimekaa upande wa dirishani yeye karibu upande wa kutokea.
Basi bwana mvua inanyesha na imetupapasa kwa kiasi kidogo japo...
Ni hisia ya ajabu sana jinsi mtu anaweza kuwa katika maisha yako kwa miezi au hata miaka na kisha siku moja kwa ghafla hayupo tena. Si kwamba katwaliwa toka maisha la hasha. Kakuacha! Hana hisia...
Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto
Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda
Malizia....
Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana watu wakilalamika wanawake wao kuchepuka nje ndoa na kupelekea ndoa kuvunjika.
Mimi ni kijana ambae nina mpango wa kuoa huko mbeleni (Sio leo...
dada zangu nawaeshimu sana mnaofanya kazi za bar na piss kali haswa,
ila hii tabia ya kuniona nimeanza kupendeza na kuja kuniomba bia mnaniaribia bajeti na bora hatauagize bia ndiyo kwanza...
Habari zenu jamani,
Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi...
Wakuu sana pokeeni salamu zangu.
Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti.
KISA CHA KWANZA:
Huyu ni rafiki yangu...
Habarini Wadau,
Kwa namna maisha ya Mahusiano na zaidi ya Ndoa yalivyo kwetu sisi Watu weusi, ninaona kabisa baada ya miaka kadhaa kutakuja kuwepo "Ndoa za Mikataba" yaani watu wanasainishana...
Leo nimeona nirudie tena
Kuna watu hawajui faragha ..Unapokutaana na jirani yako guest ukitoka sio lazima utangaze kwakila mtu
Hili la jana limeniumiza sana nilipokea simu sa tano nikamdhamini...
Habari wakuu,
NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%.
Nikaishia kukumbuka miaka...
Wasaalam wakuu,
Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na...
Ninashangaa sana, wanaume wengi wa mitaa mingi niliozunguka, wako kwenye mahusiano na pisi za kawaida sana; wengine wana uchumi wa kati, lakini wako kwenye mahusiano na pisi ambazo hata huwezi...
Ukewenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.
Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa...
Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili.
Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu...
Wakuu, mpenzi wangu Leo jioni kanitumia meseji ya kuwa anataka kutoa mimba. Mimi nimemkataza,na nimemuonya na asijaribu kabisa.
Sasa amekuwa mbishi na anataka nimsapoti katika eneo la pesa ili...