Kuwa kwenye mahusiano na pisi za kawaida, tatizo linaweza kuwa nini?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,428
40,416
Ninashangaa sana, wanaume wengi wa mitaa mingi niliozunguka, wako kwenye mahusiano na pisi za kawaida sana; wengine wana uchumi wa kati, lakini wako kwenye mahusiano na pisi ambazo hata huwezi kutegemea.

Pamoja na Dunia hii kuwa na warembo wengi, lakini bado wanakuwa kwenye mahusiano na pisi za kawaida.

Je, tatizo linaweza kuwa nini; ubahili, uoga, hofu au ni madomo zege?.​
 
Ninashangaa sana, wanaume wengi wa mitaa mingi niliozunguka, wako kwenye mahusiano na pisi za kawaida sana; wengine wanauchumi wakati, lakini wako kwenye mahusiano na pisi ambazo ata huwezi kutegemea...​
Hao unaowaita pisi za kawaida kwani sio watu na hawana haki ya kupendwa.(Binafsi naona kila mtu anao mtazamo wake na aina ya mtu anayetaka kuwa nae)
 
Ninashangaa sana, wanaume wengi wa mitaa mingi niliozunguka, wako kwenye mahusiano na pisi za kawaida sana; wengine wanauchumi wakati, lakini wako kwenye mahusiano na pisi ambazo ata huwezi kutegemea.

Pamoja na Dunia hii kuwa na warembo wengi, lakini bado wanakuwa kwenye mahusiano na pisi za kawaida.

Je, tatizo linaweza kuwa nini; ubahili, uoga, hofu au ni madomo zege?.​
Hoa pisi kali wako tunanunua bei cheee tu nightstand hao unawaona wa kawaida tunaishi
 
Back
Top Bottom