Mpenzi wangu anataka kutoa mimba

Mpenzi wangu anataka kutoa mimba

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
553
Reaction score
2,266
Wakuu, mpenzi wangu Leo jioni kanitumia meseji ya kuwa anataka kutoa mimba. Mimi nimemkataza,na nimemuonya na asijaribu kabisa.

Sasa amekuwa mbishi na anataka nimsapoti katika eneo la pesa ili aweza kufanikisha zambi hio...

Nimemueleza kuwa Mimi sitohusika na chochote kibaya kitakacho mtokea,pili nimemwambia ni makosa kisheria,Tatu nimemwambia anaweza kufa akifanya masihara.

Yeye kanitisha kuwa akipata matatizo Mimi nitahusika ..sasa wakuu Mimi nitahusikaje hapo kwa sababu mimi sikumbaka na wakati tunafanya mapenzi tulikuwa tunakubaliana.

Naombeni ushauri hapa nifanyaje?ili Kila mtu apite hivi kivyake maana huyo manzi ashakuwa tatizo saivi.

Screenshot_20231116-204748.jpg


Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena. MADHARA ya Uchumba wa muda mrefu na wakienyeji ni sumu. Mmekutana tu barabarani mnaanzisha mahusiano hata Wazazi hawajui, wala hujui historia ya mchumba wako, vinasaba vya ukoo wake hujui?

Wewe unaamua kumuweka ndani na kufanya nae mapenzi, huko kujichimbia kaburi. Aliyeweka utaratibu wa ndoa si mjinga kama unavyodhani.

Pambana na hali yako
 
Wanaume wa dar ......mnatuharibia jf the home of great thinker

Jambo la demu wako kutoa mimba ndio unakuja kusemelea jf....... at least ungewaambia hata wazazi wako[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]
 
Back
Top Bottom