Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eid Mubarak watu Wa Mungu! Naombeni ushauri, nimetamani kusafiri kwenda nchi yoyote ya Africa kutembea na kujifunza fursa za uwekezaji na ajira ktk nchi hizo, nimejipendekezea kwenda s/Africa au...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Wanawake waliofika miaka 30 na kuendelea na hawajaolewa huwa wanahonga asikwambie mtu, lengo ni kumvutia mwanaume ili amuoe. Kutokana na kupoteza matumaini ya kutokuolewa kwa muda mrefu...
7 Reactions
266 Replies
32K Views
Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu...
33 Reactions
272 Replies
16K Views
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi...
61 Reactions
362 Replies
37K Views
1. Abrahim > Wake watatu 2. Jacob > Wake wanne 3. David > Wake 8 na masuria kibao 4. Solomon > Wake 700 na masuria 300 5. Rehoboam > Wake 18 na masuria 60 6. Abijah > Wake 14 7 Lameki > Wake...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kusafisha na kupanga nyumba yangu, kaka yangu alinipigia simu na kuniambia, "Mimi na mke wangu tunakuja kukutembelea." Nilienda jikoni kuwaandalia kitu, lakini sikuweza kupata chochote...
68 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa kuwa ndoa ni kifungo na kiapo chenye nguvu sana...ukichukulia juu juu utateseka sana na kiapo hicho. Mke kazingua, anabishana na wewe, hataki kuwa chini yako...
24 Reactions
1K Replies
53K Views
Je mnashiriki oral sex? Mnafanya blowjob? Je mna masharti kwenye kufanya tendo la ndoa? Je ni nani kati ya mume na mke ndio mmiliki wa tendo la ndoa na kwamba ndiye mwenye uamuzi wa muda wa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni...
17 Reactions
45 Replies
5K Views
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi. Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka...
131 Reactions
491 Replies
37K Views
"Mwenendo wa Wanaume" hurejelea kanuni za kijamii na tabia zinazotarajiwa kutoka kwa wanaume katika hali mbalimbali. Ingawa mwenendo unaweza kutofautiana kulingana na mila na matarajio ya kijamii...
1 Reactions
4 Replies
545 Views
Igweeeee, Heri ya sikukuu ya sabasaba. Waswahili husema mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na sio MWANAUME. Hawa waswahili walikuwa sahihi kabisa, katika ndoa mwanaume...
14 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wadau. Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira. Ndoa inafungwa ila mume na...
12 Reactions
65 Replies
6K Views
Hawa dada zetu wana hali mbaya ila ukiitizama ni ya kujitakia na ndio maana wengi wao wana tamaa ya fedha. Based on utafiti nilioufanya kwa wanawake ambao ni marafiki zangu. Ukichukua sample ya...
1 Reactions
2 Replies
647 Views
Wakuu mi niende mazima kwenye mada husika bila mbambamba. Kwa muda mrefu sana nimekua nikijiuliza, wale viongozi heavy weight wa kike wananyanduliwa kwa namna ipi? Ni hii hii ya pelekea moto? au...
1 Reactions
4 Replies
458 Views
Wale wala nauli na kuzima simu mjiandae sasa. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
547 Views
HAYA maisha yamesheheni sana umaridhawa. Je, sikukwambia? Life is so wonderful, didn't I tell you? Leo inapofika, inaweza kukushangaza kuhusu jana. Leo hupatanisha maadui wa jana. Hufarakanisha...
3 Reactions
3 Replies
440 Views
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata...
25 Reactions
341 Replies
21K Views
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali. Sifa za mke; 1. Elimu kuanzia kidato cha nne. 2. Dini yoyote. 3. Umri iwe Miaka 30-50.
19 Reactions
141 Replies
10K Views
Habari za kutwa wana JF. Leo nawapa mbinu za hawa wake zetu/wapenzi wetu wanazozitumia hasa wanao fanya kazi mbali. Ilikuwa Jumamosi moja hivi nilikuwa kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi...
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…