Igweeeee,
Heri ya sikukuu ya sabasaba.
Waswahili husema mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na sio MWANAUME.
Hawa waswahili walikuwa sahihi kabisa, katika ndoa mwanaume ananafasi yake pia mwanamke ananafasi yake lakini siku hizi hali imebadirika sana. Mwanamke anaitaka nafasi ya mwanaume ndoani kitu ambacho mwanaume anayejitambua hawezi kukubali.
Ndani ya ndoa mwanamke akiwa na mdomo sana kumgombeza mumewe kila mara hapo mume atamchoka. Mwanamke anayenuna pasipo sababu za msingi kwa mume wake huyo hana maisha marefu ndoani.
Mwanamke anayefuatilia mienendo ya mume wake kila akitoka na kurudi huyo hafai kuwa ndoani.
Mwanamke anayemuuliza mume wake kwa ukali kwanini amechelewa kurudi nyumbani huyo ndoa yake haiwezi kudumu, mwanaume apokelewe hata akirudi asubuhi.
Mwanamke anayepanga ratiba ya kunyanduana ahahaha hapo ndio mwendo kaumaliza mwenyewe. Mwanamke anayetaka ndugu zake tu wamtembelee na sio ndugu wa mume hapo ndio mwisho wa ndoa kautengeneza.
Mwanamke anayehudhuria matukio ya shehere kuliko kutekeleza majukumu yake ya ndoa huyo naye hana muda ndoani.
Mwanaume anayetaka kulipiza kuchepuka baada ya kugundua mumewe anachepuka huyo ndio anachimbia kaburi mwenyewe. Kiufupi kila ndoa unayoona imevunjika kwa asilimia 80 mpaka 90 chanzo kikuu ni wanawake kufanya moja ya sababu hizo hapo juu
Kwa upande wangu nitaendelea kuoa na kuacha hata kama dini na sheria za ndoa haziruhusu maana siwezi kubali kuendelea kuishi kwa stress ilhali wanawake wamejaa.
Nawasalimu kwa jina la DP world.