Kwa waliooana tu

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,421
7,973
Je mnashiriki oral sex? Mnafanya blowjob? Je mna masharti kwenye kufanya tendo la ndoa? Je ni nani kati ya mume na mke ndio mmiliki wa tendo la ndoa na kwamba ndiye mwenye uamuzi wa muda wa kulitenda, staili ya kulitenda na je mnapofanya mnaongea au mnafanyana kimya kimya, je mnawasha taabau mnafanyia gizani?
 
kah! yatakusaidia nini sasa, anyway ukishaolewa ni kifo cha mende tu, mwanaume juu, mwanamke chini, hakuna kuongea, tunaobserve table manner kile ni chakula, huruhusiwi kuongea wakati wa kula, sharti taa iwe imezimwa na unafanya chap chap mambo yasiwe mengi
 
Umegundua nini baada ya kujiuliza hivyo hujahisi chochote kupungua kwenye kichwa chako? Je ulikuwa hvhv tokea mwanzo au umejikutwa gafla umebadilika? Mmmh Aya ngoja kwanza wataalamu wa magonjwa ya akili waje nitakuambia kitu
 
asante kwa maoni yako
 
shukrani kwa maoni
 
Back
Top Bottom