Idadi ya wake kwa watu wa Mungu

Kuna watu ambao wanaazisha project mbalimbali kupotosha ukweli kwa faida ya shetani...na ukweli huo ni kwamba mwanaume anatakiwa aoe mwanamke zaidi ya mmoja ndio maana Mungu amewaumba wanawake wengi kuliko wanaume..leo muafrika anaaminishwa na mzungu yakwa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni dhambi eti ila ushoga na usagaji ni halali..tukumbuke hawa jamaa wamezaliana mpaka wamekuwa hawana nafasi za kuishi ..mfano china inawatu idadi zaidi ya billion moja...waafrika bado niwachache duniani then wanadanganywa.
 
Paulo Hakuwa na Mke kabisa
Petro: Mke mmoja
Mapapa wa mwanzo Mke mmoja mmoja
Yesu katika hali ya kibinadamu - Hakuwa na Mke pia.
 
åIn the modern world polygamy doesn't work. It's either you marry one wife or remain single and available. A woman who makes her own money cannot withstand a co- wife.

åWhen you introduce a second wife be ready to lose both. The first one to move out will be the first wife, then the second wife will follow later .

åThe second wife can only stick to you when the first wife is around, she likes the drama. The moment the first wife leaves the marriage, the second one gets bored,she leaves too.

åNormally, the second wife comes to destroy the family, the relationship and marriage, she will help the man eat all his investments. The second wife has no mercy or sympathy because she knows she's just there to gain financially.

åYou'll find homes with 2 families have regular fights, there's no peace. You will notice that the man was doing well, but the moment the second woman came, he began to go down in all dimensions.

åThe second wife doesn't come because she loves you,she accepts you because of what you have. Whenever everything you have gets exhausted, she leaves. Only the first wife loves even when you have nothing, they are ready to grow with you
 
Alipokuwa msalabani.. aliwa samehe wote , kwa kuwa hawajui walitendalo.
sema Man Yuda akawa asha chukua maamuzi magumu.
Ikiwa alishindwa kumsamehe akiwa baso hajachezea maumivu ya kusulibiwa,ataweza kweli kumsamehe wakati misumali imemchoma na analia kwa maumivu. Alikumbuka kweli kumsamehe yuda?
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_221425_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20240211_221425_Samsung Internet.jpg
    70.1 KB · Views: 3
Wanawake ni moja kati ya starehe ambayo Mola alituumbia watu wake. Hivyo basi, chukua wanwake hata 10, weka ndani kwa ajili ya kuwachakata tu. Baada ya miezi miwili, fukuza wooooote. Lete sample mpya

Sio wa kukaa nao hawa viumbe, utakufa mapema
 
Mkumbuke pia hali ya maisha imebadilika tofauti na miaka ya hao watumishi wa Mungu.
Imagine leo kwa hali ya maisha yalivyo magumu na mabadiliko ya tabia nchi ukiwa na wanawake 20+ utaweza kweli kuwadinya inavyotakiwa au lazima vijana wakusaidie?
 
Hicho Kinakuwa Kiwanda Cha Kuchakata Papuchi.
Wanawake ni moja kati ya starehe ambayo Mola alituumbia watu wake. Hivyo basi, chukua wanwake hata 10, weka ndani kwa ajili ya kuwachakata tu. Baada ya miezi miwili, fukuza wooooote. Lete sample mpya

Sio wa kukaa nao hawa viumbe, utakufa mapema
 
1. Abrahim > Wake watatu
2. Jacob > Wake wanne
3. David > Wake 8 na masuria kibao
4. Solomon > Wake 700 na masuria 300
5. Rehoboam > Wake 18 na masuria 60
6. Abijah > Wake 14
7 Lameki > Wake wawili
8. Elikana > Wake wawili

My Take
Sina My take yeyote
Usichofahamu hao wote walikuwa wanaishi kulingana na Sheria za taifa la Israeli ya kale au uebrania,hawakuwa wakristo,ukristo hauruhusu ndoa ya wake wengi ndiomaana tangu ulipoanzishwa hutaona hata mmoja mwenye mke zaidi ya mmoja,unauelewa kwanini Adam alikuwa na mke mmoja? Unafaham Lameki ambae ndie mwanaume wa kwanza kuwa na wake wawili aliwapataje?
 
Back
Top Bottom