Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa kitaa kuna single mama ana watoto 4 watatu baba mmoja mmoja baba mwingine Single maza huyu ana umri wa miaka 37 tu ni mjasiria mali. Kwa kuwa bado ni dogo dogo nikaona nimtie vokali niwe...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Majuzi rafiki yangu alikopa pesa huko sijui mgodi sasa alipoanza kudaiwa ni mesage ya Mgodi ila siku ingine ni namba kama namba. Sasa kajuaje anadaiwa na huku ni kitu cha siri. Hata ukiwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
The first day nimeanza kazi I knew he was the right guy for me, he is smart, intelligent, wise and successful. Yaani I couldn’t help myself nikamwambia ukweli kuwa am in love with you boss. He...
21 Reactions
503 Replies
31K Views
Ni rahisi kuwaona wahusika wakiwa na maisha ya kawaida lakini ni ngumu kujua wanayopitia. - Upweke - Ugumu wa ndoa mpya hasa kwa umri mkubwa - Kumbukumbu/ memories zinazotonesha kidonda
2 Reactions
7 Replies
580 Views
Habari za muda huu Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye...
2 Reactions
11 Replies
701 Views
Naitwa Erick nipo Dodoma, natafuta mpenzi. Aliye-serious karibu tuyajenge inbox. Sichaguii dini kabila elimu au kipato kipaumbele kwa waliopo Dodoma.
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Habari wadau, Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu. Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana...
2 Reactions
6 Replies
726 Views
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wana JF, ni mimi hapa nguli wa mapenzi, a.k.a mzee wa ovyo, hapa kitaani ukiulizia nyumbani kwa mzee wa matikiti kudondokeana unaletwa hapa mlangoni kwangu Basi bhana, miezi miwili...
1 Reactions
17 Replies
991 Views
Kidume mwenzangu umeshawahi kukutana na wadada waivaa kama hiyo picha hapo chini? Tiririka sifa zao hapo chini……
15 Reactions
136 Replies
7K Views
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali! Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Salaamu wana MMU... Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi.. Usisahau...
16 Reactions
258 Replies
7K Views
Ni kawaida kuwaona wakiita besti, mara rafiki mara shosti nk nk huku wakienda mbele zaidi na kupiga picha wakiwa wamebinua makalio na kuweka instagram. ILA.. Deep down wanajua kabisa...
23 Reactions
132 Replies
5K Views
Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha. Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na...
35 Reactions
239 Replies
12K Views
Je, unaweza kuanza maisha na mwanaume ambae hana kitu yaaan apeche alolo na mkapanda taratibu? Nasubiria majibu, wanaume mnakaribishwa kuchangia.
12 Reactions
216 Replies
12K Views
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo nimeifanyia utafiti mikoani na mjini na vijijini, wanawake ukidate naye hawazi tena kinga na akuilizi na akiona unataka sana kinga anakwambia zinaniletea fungus...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa.. limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲 anyway, ladies take time to...
46 Reactions
343 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…