Mpenzi wangu kanitelekeza kwa wazazi wake

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu

Hivi viumbe tunu ya mioyo yetu sijui akili zao zipo wapi. Japokuwa mimi ni muhanga wa kataa ndoa ila sikatai kuishi na mwanamke, nitaishi na mwanamke uchumba sugu hakika.

Hivi karibuni baada ya kupata matatizo niliona kabisa mwanamke ana umuhimu mkubwa, u-bachelor ni upumbavu na ujinga mwingi na hata kama ndoa sitaki basi niishi uchumba sugu.

Hakika nikaperuzi katika wale waliokuwa wanakula hela zangu, nikakutana ma mmoja wao aliekuwa ananijali mno, akifatilia kwa karibu maendeleo yangu, na kunitia moyo. Nikaona huyu mmoja amewazidi wenzake na kupanga kwenda kwao hata na sukari kilo kwanza nifanye namna ya kumchukua, huyu binti bila hiana alikubali ila chakushangaza nakuja kufika kwao ananiambia kapata dharura na nionane na wazazi wake. Kweli niliheshimu kwa busara nikakaa na wazazi wake na kupiga piga story fupi sana nikaaga nikaondoka maana mwenyeji wangu hayupo.

Hakika najiuliza sana moyoni kwanini anitelekeze kwa wazazi wake ilihali anajua ninaenda kwa ajili yake na kwa lengo la kusoma mazingira ili nimchukue tukaishi uchumba sugu.

Wakuu nipeni akili hapa ili nichanganye na zangu walau.
 
Ndugu zangu

Hivi viumbe tunu ya mioyo yetu sijui akili zao zipo wapi. Japo kua mimi ni muhanga wa kataa ndoa ila sikatai kuishi na mwanamke, nitaishi na mwanamke uchumba sugu hakika.

Hivi karibuni baada ya kupata matatizo niliona kabisa mwanamke ana umuhimu mkubwa , u-bachelor ni upumbavu na ujinga mwingi na hata kama ndoa sitaki basi niishi uchumba sugu.

Hakika nikaperuzi katika wale waliokua wanakula hela zangu , nikakutana ma mmoja wao aliekua ananijali mno , akifatilia kwa karibu maendeleo yangu, na kunitia moyo. nikaona huyu mmoja ame wazidi wezake na kupanga kwenda kwao hata na sukari kilo kwanza nifanye namna ya kumchukua, huyu binti bila hiana alikubali ila chakushangaza nakuja kufika kwao ananiambia kapata dharura na nionane na wazazi wake . Kweli nili heshimu kwa busara nikakaa na wazazi wake na kupiga piga story fupi sana nikaaga nikaondoka maana mwenyeji wangu hayupo.

Hakika najiuliza sana moyoni kwanini anitelekeze kwa wazazi wake ili hali anajua ninaenda kwa ajili yake na kwa lengo la kusoma mazingira ili nimchukue tukaishi uchumba sugu.

Wakuu nipeni akili hapa ili nichanganye na zangu walau .

"Lengo la kusoma mazingira ili nimchukue tukaishi uchumba sugu."

Mazingira si unasoma mwenyewe+? Wenge lako tu
 
Alipata danga ndio maana alikuacha kidogo ili akale kichwa. Akimaliza kumuhudimia mwenye hela atakurejea wewe usiejielewa ili mkaishi uchumba sugu
 
Ndugu zangu

Hivi viumbe tunu ya mioyo yetu sijui akili zao zipo wapi. Japokuwa mimi ni muhanga wa kataa ndoa ila sikatai kuishi na mwanamke, nitaishi na mwanamke uchumba sugu hakika.

Hivi karibuni baada ya kupata matatizo niliona kabisa mwanamke ana umuhimu mkubwa, u-bachelor ni upumbavu na ujinga mwingi na hata kama ndoa sitaki basi niishi uchumba sugu.

Hakika nikaperuzi katika wale waliokuwa wanakula hela zangu, nikakutana ma mmoja wao aliekuwa ananijali mno, akifatilia kwa karibu maendeleo yangu, na kunitia moyo. Nikaona huyu mmoja amewazidi wenzake na kupanga kwenda kwao hata na sukari kilo kwanza nifanye namna ya kumchukua, huyu binti bila hiana alikubali ila chakushangaza nakuja kufika kwao ananiambia kapata dharura na nionane na wazazi wake. Kweli niliheshimu kwa busara nikakaa na wazazi wake na kupiga piga story fupi sana nikaaga nikaondoka maana mwenyeji wangu hayupo.

Hakika najiuliza sana moyoni kwanini anitelekeze kwa wazazi wake ilihali anajua ninaenda kwa ajili yake na kwa lengo la kusoma mazingira ili nimchukue tukaishi uchumba sugu.

Wakuu nipeni akili hapa ili nichanganye na zangu walau.
Akili yako bado ipo nchini KATAA NDOA... kwahiyo usiteseke Rudi huko ukaendelee Kula mema ya dunia
 
dharura aliopata ni kwenda kuliwa na boss wake ndio maana akakuacha uongee na wazazi wake anajua hufui dafu
 
...anajua ninaenda kwa ajili yake na kwa lengo la kusoma mazingira ili nimchukue tukaishi uchumba sugu.
Yaani umemjulisha kabisa nia yako ya "uchumba sugu" halafu unatarajia akupe ushirikiano kwenye kuutengeneza?!
Mtego unaonasa mawindo ni ule uliofichwa, au usioonekana wazi
 
Anakupima Mzee muamshie popo.Mind you Hilo likiweza kupita BIla kuongea Neno lolote kukemea hiyo tabia atakuona wewe sio mwanaume na ataja Fanya zaidi ya hayo kama Kuacha kupika wakati mnategemea wageni.

Mkemee ukiona amekasirika na kukuambia muachane kubali usiwe kinganganizi naye Wala usimbembeleze.Nakuhskikishia atarudi kwako na atajirekebisha.
 
Back
Top Bottom