Usiendekeze kumfosi anayekukataa...

Usiendekeze kumfosi anayekukataa...

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,983
Wengine wana changamoto zao ambazo hawawezi kukushirikisha mojakwamoja na hawapendi wakusababishie

Sasa wewe endelea kufosi

Habari ndoiyo

Usiseme haukuambiwa
 
si kuna jamaa aliandikaga humu jukwaani kwamba, ukikataliwa usijiskie vibaya 🐒

na actually ukikataliwa mara nyingi zaidi unakua na experience zaidi ya wengine na kwahivyo, utaona ni kawaaida tu kunyimwa na huwezi force hata 🐒
 
Mwanaume kufosi mahusiano na mwanamke ni ujinga uliopitiliza.

Ni sawa na kufosi matatizo yake yahamie kwako.

Kwa hawa wanawake wa siku hizi ukishakubaliwa unakuwa umeingia kwenye mzigo wa kupigwa vizinga na kuhudumia

Halafu yeye mchango wake ni K tu

Kama mwanamke ndiye anayefaidika na mahusiano ya nini uumfosi kama sio ujinga

Never go back for a woman who once rejected you. If she tells you NO another woman will tell you YES
 
Hapo mwishoni ungemalizia na ule msemo wako the game is brutal but still fair 🤣
 
Mwanaume kufosi mahusiano na mwanamke ni ujinga uliopitiliza.

Ni sawa na kufosi matatizo yake yahamie kwako.

Kwa hawa wanawake wa siku hizi ukishakubaliwa unakuwa umeingia kwenye mzigo wa kupigwa vizinga na kuhudumia

Halafu yeye mchango wake ni K tu

Kama mwanamke ndiye anayefaidika na mahusiano ya nini uumfosi kama sio ujinga

Never go back for a woman who once rejected you. If she tells you NO another woman will tell you YES
Nilikataliwa na manzi baada tu ya kuja geto kwangu na kukiss ndani ya mda kdg hakunipa tunda aliaga na nikamsindikiza, baada ya kuondoka hakuwai kunitafuta tena nikajipa hope labd ubusy na mambo mengine.
Sikuacha kutexts wa call za hap na pale baada ya cku mbili alinitext niache kumtafuta kuanzia sasa coz haoni connection yeyote kati yangu na yeye, kiukwel nilijsikia vby san nljaribu kuaporogize alinikatia cm. So sad
 
Mwanaume kufosi mahusiano na mwanamke ni ujinga uliopitiliza.

Ni sawa na kufosi matatizo yake yahamie kwako.

Kwa hawa wanawake wa siku hizi ukishakubaliwa unakuwa umeingia kwenye mzigo wa kupigwa vizinga na kuhudumia

Halafu yeye mchango wake ni K tu

Kama mwanamke ndiye anayefaidika na mahusiano ya nini uumfosi kama sio ujinga

Never go back for a woman who once rejected you. If she tells you NO another woman will tell you YES
[emoji419][emoji419]
 
nikajipa hope labd ubusy na mambo mengine.
Sikuacha kutexts wa call za hap na pale
Wanawake wa siku hizi muda wote simu wanazo mikononi mwao. Ukiona hajibu meseji zako au hapokei simu zako ujue kaamua tu kukudharau na kukukaushia. Hilo kosa lako la kwanza

Sikuacha kutexts wa call za hap na pale
Kosa la pili, mwanaume hautakiwi kudouble text au kupiga simu zaidi ya moja. Meseji ni moja au kama ni simu moja asipoanza kukutafuta yeye usirudie kumtext wala kumpigia, piga chini. Akikucheki baada ya masaa au siku kadhaa mpotezee hata akisema alikuwa busy

Stop being needy
 
Back
Top Bottom