X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,114
upepo wangu wakupuliza wewe, mwenye joto kali.
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukaali.
ninachotaka mi ni kuwa na, wewe naomba unielewee
uuuhhh beibiiiii. *2
moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima.
nafsi inaniuma siishi kuhema, mpaka najihisi sio mzima.
unaniumiza aahaha. unanilizaa aaahaa
unaniumiza mpaka najihisi kwamba siomzima....{in RECHO voice -UPEPO}
Mapenzi ni hisia anazo zipata mtu kwa mtu mwingine, hisia za mapenzi ndio chanzo cha mahusiano yote ulimwenguni....
hisia hizi za mapenzi ni wachache sana waliobarikiwa kuzipata,
Ndio maana si kitu cha ajabu ukakutana na mtu akakwambia kuwa yeye hajawahi kuumizwa kwenye mahusiano, pengine ni kweli hajawahi kuumizwa kwakuwa hana hisia za Mapenzi, hajawahi kupenda yeye anatamani tu, amesahau kuwa ili mtu uwe umempenda ni lazima akuingie moyo, umuhifadhi ndani kabisa, uvunguni mwa moyo wako
Mtu huumizwa na kile kilicho mkaa moyoni, kitu chochote ulichokihifadhi moyoni kikikutoka bila kutegemea lazima tu utaumia. katika mahusiano kuna maumivu na furaha, ingekuwa watu wanaumizwa tu pasipo kupata furaha kwenye mahusiano wengi tusingerudia tena kupenda hivyo maumivu ni sehemu ya kuingia kwenye mahusiano bora na imara,
Ni raha sana pale mpenzi wako, anakuletea zawadi, anakupongeza, anakusifia, anakurizisha katika tendo la ndoa, anakuheshimu, anakujali nk...hiki ndicho kipindi ambacho huwapa furaha sana watu waliopo kwenye mahusiano
kulikuwa na .....
Dada mmoja anaitwa Illuminata Rodgers alikuwa anafanya kazi kwenye moja ya idara nyeti za serikali, kutokana na kubanwa sana na majukumu ya kikazi alijikuta akiyapa mgongo mahusiano ya Mapenzi,
Mapenzi aliyasoma tu kwenye simulizi Illuminata Rodgers alitamani sana kujihusisha na mahusiano ya mapenzi lakini alikuwa kama mwanaume kwani mara nyingi alipenda sana kuvaa mavazi ya kiume suruali ama kaptura na kunyoa aina za nywele wanazopenda kunyoa wanaume.
Kwa muonekano wake wa kidume, wanaume wengi waliogopa sana kumfuata na kumueleza hisia zao. siku moja Illuminata Rodgers aliletewa faili la mtu fulani anayehitaji kuchunguzwa ili apatikane na hatia aweze kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa.
Illuminata Rodgers aliposoma lile faili alikutana na jina lililoandikwa Daby jina hilo lilipambwa na maneno magumu muuaji na muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya hakikisha unamtengenezea mitego ya kumnasa kwa gharama yoyote ile.
Katika faili lile palikuwepo na mawasiriano yote ya Daby , kazi haikuwa kubwa kwa Illuminata Rodgers kumtafuta Daby .
Daby alikuwa ni kijana mtanashati, anayejua kutafuta pesa na kuzitumia, Daby hakuyapa kipaumbele mahusiano ya mapenzi kutokana na kazi zake za kijambazi anazo zifanya...kwani aliamini kuwa wanawake si watu wazuri, wangekuja kumsababishia kutiwa hatiani.
Jioni moja sehemu tulivu Daby alihisi harufu nzuri ya manukato iliyopenya ndani kabisa katikati ya ubongo wake, manukato hayo yalimsisimua sana Daby alijikuta hamu ya kufanya mapenzi inamuingia. Daby alipogeuza shingo yake upande wa pili alikutana na msichana mrembo,
Ndio alikuwa mrembo na Daby mwenyewe alikiri kuwa hakuwahi kukutana na msichana mrembo kama yule tokea alipoanza kujihusisha na mapenzi, kwakuwa Daby alishaingiwa na mshwawasha wa ngono na kwakuwa alikuwa na pesa aliamua kumfuata yule binti,
Daby alitembea kwa mwendo ulioambatana na kujitanua mwili akiwadhihirishia wengine juu ya kiburi cha mali alicho nacho.
alipomfikia yule msichana akamsalimu "habari naitwa Daby kama hutojari naomba tuongee kidogo" yule msichana akamtazama Daby kisha akamwambia "usijari naitwa Illuminata Rodgers "
Daby alimuongoza Illuminata Rodgers hadi kwenye sehemu tulivu zaidi pale hotelini....ni kama Daby alinaswa kwenye mtego kwani Illuminata Rodgers alijipulizia marashi yenye mchanganyiko wa jasho la Daby marashi hayo hutengenezwa maalum ili kumnasa muhusika kwenye mapenzi...
Daby alipagawa akashindwa kujielewa....walijikuta kwenye ulimwengu wa mapenzi, lengo la Illuminata Rodgers lilikuwa ni kumnasa Daby lakini kutokana na mkuno alioupata kutoka kwa Daby .... Illuminata Rodgers aliapa kumlinda Daby....
Illuminata Rodgers alifuta kimya kimya vielelezo vyote vitakavyo mtia hatiani Daby kisha akamwambia Daby naomba uache kujihusisha na biashara hii haramu tutafute biashara halali tufanye...kwakuwa Daby aliimpenda sana Illuminata Rodgers alikubariana naye Daby aliacha ukatiri na biashara haramu ya madawa ya kulevya... mapenzi yalisababisha Daby akawa mtu huru.
Najua hata wewe msomaji, tokea umewahi kujiingiza kwenye mapenzi kuna vitu ambavyo kupitia mahusiano umekuwa ukivifahidi, ebu tuambie mapenzi yamekunifaishaje? Ni kipi ukikumbuka kwenye mapenzi huwa kina kufurahisha...?
lengo ni kujifunza na kuwapa darasa walioumizwa na mapenzi wasiyachukie.