Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
6 Reactions
12 Replies
182 Views
Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini 1. Ni maisha magumu ? 2. ARVs 3. Mitaji kukosa 4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii? Au njaaa ? Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye...
11 Reactions
81 Replies
1K Views
Sote tunajua kumwambia mtu ukweli hasa kwenye kizazi hiki ni mtihani yaani ile mpenzi wako au rafiki yako kazingua kwenye jambo fulani na haujapenda hilo tendo tatizo linakuja kwenye kumchana je...
3 Reactions
17 Replies
191 Views
Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia...
9 Reactions
31 Replies
484 Views
Unakuta unachati na mpenzi wako yuko mbali umemmiss Hivi hakuna namna wanasayansi wakae wabuni mtambo spesho kwa wanao misiana , wa kutuma watu kama unavyotuma meseji kwenye simu? yaani shaa...
2 Reactions
6 Replies
136 Views
Wadau najua maisha ni magumu sana. Sikatai life is not fair kwa wote. Kuna watu wako vizuri kiuchumi. Sasa nini kinakufanya umnunulie gari, umfungulie biashara, uwajengee wazazi wa mkeo nyumba?
6 Reactions
52 Replies
780 Views
Aisee ni vigumu kuona bikra dsm, inasikitisha Utafiti umefanya na (erm)huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira, ( virginity percentage at 25 years old) Kati ya watu miamoja...
4 Reactions
203 Replies
29K Views
Single Maza. Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na...
3 Reactions
19 Replies
251 Views
Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na...
3 Reactions
13 Replies
211 Views
MEMORIES OF 2019. Sitasahau Hasira Niliyopata Baada ya Kutongoza Mwanaume Mwenzangu kwa SMS kwa Makosa ya Namba. Wakuu, niwarudishe nyuma kidogo miaka 7 iliyopita, ilikuwa ni mwaka 2019...
5 Reactions
13 Replies
337 Views
Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema. 1.MUDA Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika...
6 Reactions
18 Replies
435 Views
Tumia KONDOMU. Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
3 Reactions
12 Replies
151 Views
Habari za Saba Saba. Jamani wale wataalaam wa afya kuna uhusiano wa kupandisha hasira na sukari mwilini mwa binadamu?
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Huu uzi ni mahsusi kwa ajiri ya kutupia maneno mazuri na ya kuvutia ya kupendeza kwa yule umpendaye wengi hapahapa watachukua maneno mazuri Siku zote mapenzi yanahitaji upendo wa dhati utani wa...
2 Reactions
24 Replies
353 Views
Kaka yangu alikorofishana na mkewe yani shemeji yangu, shem akabeba nguo zake akasepa kwao hapohapo dar, bro akawaomba masister zetu ushauri, dada zetu hawana dogo sister mkubwa akasema piga chini...
9 Reactions
62 Replies
1K Views
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma Nikaona hapa...
18 Reactions
104 Replies
2K Views
Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :) kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi...
5 Reactions
8 Replies
976 Views
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii Mahari ninini? 1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama...
7 Reactions
88 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…