Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,473
- 37,525
Kumbee ndivyo ilivyo,
Naanza kwa kufikiri na kutizama naona kama maono nakuja kugundua kumbee ndivyo alivyooo looh! Sina hamu Kasinde mie najuta kumuamkia adult kumbe kinda la ndege khaaa! Nilifikiri nimechanganyikiwa kwa kusema hivi kumbe ndivyo alivyo. Nilidhani ndoto kuwa asubuhi kutakucha niamke kumbe ndivyo alivyo.
Ukimuona sasa Utashaa! Binti ni mpole, ana huruma, si mwepesi wa hasira, amejaa neema zote uzijuazo muda wote anawaza na kusema mema kumbe sivyo alivyo. Mawazo yake yamejaa busara na hekima tele, si kama wawazavyo vizabizabina loooh kumbe sivyo alivyoo. Ukimtazama sana haeleweki katikati ya mabinti kumbe ndivyo ulivyoo.
Ukiwa na shida haishi kukufariji kwa sauti nyororo na tamu ya kubembeleza kumbe ndivyo alivyo. Usiku na mchana ahalali usingizi kukusaidia ulipokwama, huingilia kati pale anapoona unaonewa na kuweka mambo sawa kumbe sivyo alivyo.
Binti hovyo huyu, wema wote huu kumbe alikuwa anachunguza file langu katumwa na FBI.
Binti nishamfukuza home saivi niko alone, mienilijua niko na binti wa kunisaidia kazi kumbe niko na shushushu, shushushu karata ya mavi ya mbuzi kaicheza vibaya nikamkamata na Jokeri out of the game na last card mkononi, akapiga simu makao makuu kuomba msaada baada ya kuona kakosea mahali.
Binti baada ya kuona nimemfukuza akaanza tukana matusi yote anayoyajua miye nikamuona punje ya haradani, tuu tupa kuleee weka tinted sunglassed, funga vioo nduki yule nimemuachia manyoya na vumbi tuu hata namba ashindwa kuisoma kabaki anapangusa uso tuu hahahahahahahaaaa.
Poleee binti ulinikamata mwanzoni kwakuwa sikujua ukoje kumbee ndivyo ulivyoo.Binti, siku nyingine ukimuona Kasie umuangalie vizuri kasha upite kando sio unamvaa kichwa kichwa, na nyie FBI mjipange upya your plan A fails na plan B to J yenu ninayo you better run to plan Z. Kashata za karanga!
NB: As usual, if u didn't get a point here it weren't mean for u. Rush out and leave it for others.