Naombeni ushauri,
Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake sipokei wala sms sijibu.
Amefika hatua sasa amekua akinitusi matusi makubwa hadi ya kumuhusu mama yangu lakini mimi sijamjibu chochote mpaka sasa hivi.
Naomba ushauri huyu mtu nimfanyaje. Wazo langu mimi niliwaza kumpeleka kwenye vyombo vya sheria, Je, itakuwa sahihi?