Jinsi ya kuishi na watu

Jinsi ya kuishi na watu

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,106
Reaction score
46,323
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu

2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao

3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu

4. Kama huna shughuli kaa kwako usipende kutoka kutafuta maneno kwa majirani

5. Acha mazoea na wanawake za watu hapo mtaani au waume za watu

6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako

7. Kama una hasira za haraka sana usipende kujichanganya na watu bila sababu za msingi kaa kwako tu uepuke mengi

8. Acha kabisa kudharau watu according na uchumi wao elimu yao au ukilema wao wa mwili

9. Jifunze sana kutoa kwa wahitaji kuliko kupokea ni baraka sana

10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi.
 
Haswaaaaa
 
Uzi mzuri sana wa kukumbushana basics za maana za maisha,shukrani sana mleta mada.

Kwa kuengezea tu ni kwamba ukiyafanya hayo yote hauingii gharama yoyote wala hutapungukiwa na chochote zaidi ni faida kwako.
 
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu

2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao

3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta wamekaa kwenye mitaa au maeneo yao ni ustaarabu tu

4. Kama huna shughuli kaa kwako usipende kutoka kutafuta maneno kwa majirani

5. Acha mazoea na wanawake za watu hapo mtaani au waume za watu

6. Kwenye maafa penda kuungana na watu wa mtaani kwako

7. Kama una hasira za haraka sana usipende kujichanganya na watu bila sababu za msingi kaa kwako tu uepuke mengi

8. Acha kabisa kudharau watu according na uchumi wao elimu yao au ukilema wao wa mwili

9. Jifunze sana kutoa kwa wahitaji kuliko kupokea ni baraka sana

10. Acha tabia ya kusema vibaya watu au kuwasengenya huo ni uchawi.
Nimekupata
 
Alhamdulillah hapo ni 100%aisee majirani zangu wanaenjoy sana Yan nisipotoka ndani lazima nitaulizwa nilikuwa wapi mbona sijaonekana kutwa nzima
Hata Mie vijana wa hovyo hapa Kitaa nikiwapotezea huwa wanaumia sana, Oi Mwanetu mbona unatutenga sana? Au tumekukosea? Sometimes nikipotea machoni kwao hata kwa siku mbili wakiniona lazima Wanishangilie na kunifurahia. I don't know why 😂😂😂
 
Back
Top Bottom