Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Oct 22, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharibikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana Mkuu The Boss yeye alikwishatoa angalizo kwa kinababa wenye nyumba ndogo.Naamini bandiko lile limesaidia wengi.Tuanze basi:

  Rule no 1: Avoid viserengeti boys,viropokaji hivyo,kazi kujishebedua vijiweni kuwa vina sugamami.Vitaishia kukuchuna tu.Tembea na mtu mzima.

  Rule no 2: Ikitokea ukashika mimba ya huyo hawara,tunza siri na dhibiti hasira,yuko mama mmoja in a heated moment alimwambia mmewe..'we nae mwanaume wa kuzaa na mimi' jamaa alimpiga kisu.

  Rule no 3: Avoid kabisa mashoga zako,hata awe wa karibu vipi,kujua kuwa una hawara.Mkikosana naye breki ya kwanza itakuwa kwa mmeo.For that matter hata nduguzo wasijue.

  Rule no 4: Ukiweza tumia kondom ingawa ni mtihani kwa mtu mnayekuwa naye muda mrefu.

  Rule no 5:Usiwe na wivu wa kupindukia kwa hawara yako.Nshawahi kushuhudia mke wa mtu anakwenda kumfumania hawara yake,aliishia kupigana na kuswekwa polisi kijitonyama mabatini,imagine mmewe alipofika kituoni kuuliza kulikoni.

  Rule no 6: Hata unogewe vipi na midundo ya hawara,usi criticise performance ya mmeo kitandani,utamuua kisaikolojia.Wewe endelea na kamtindo kako ka aaarg..iiiihhh...unaniua....

  Rule no 7:Hata siku moja usipande gari moja na hawara yako,macho mengi mjini hapa.For that matter na gesti/hoteli usiziamini sana.

  Rule no 8: Hawara yako kama ameoa,hata kama anamdharau vipi mkewe usimwamini,anajipendekeza tu kwako,avoid kabisa mkewe asijue.Ishawahi kutokea mke yuko sebuleni na mumewe ghafla akatinga mwanamke akamnyooshea mme kidole na kumwambia ...'mwambie mkeo aache kutembea na mme wangu'.

  Rule no 9:Kula lakini mbakishie na mmeo,sio ukirudi kila siku ni nyimbo za kichwa kinauma.Na usibadili ratiba ya kurudi nyumbani.

  Rule no 10: Kama hawara yako ana ukwasi akikuhonga vitu vikubwa jitahidi mmeo asijue,maana atashangaa unapata wapi pesa.Ukijengewa nyumba ndo kabisaaaa hati ficha mbali asiione.

  Wakuu ongezeni na mipweint mingine hapa ili tuwasaidie mamemba wenzetu wazidi kula keki wakati wanaendelea kuwa nayo mkononi.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  MAKUBWA!!! Dah!! Will be back B'
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  14.kama mmekutana Facebook ujue hakuna siri manake wanaume sisi tunaambiana jinsi wanawake wa Fb walivyo cheap

  15. Usimuazime hawara gari lako hiyo ni dharau mbaya sana

  16. mumeo asipokuepo usithubutu kumpa mwanao simu eti ongea na Uncle mara nyingne watoto hutibua dili...


  Mwisho za mwizi siku hizi zimeshuka wala hata sio 40 ujue ipo siku utambambwa na utabambika na hapo utajua uzinzi mtamu na mchungu...

  Naenda shamba
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha, I love JF... Home of the great thinkers.
  Is this a revised/female version of the thread "Nyumba ndogo"?
   
 5. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hapo namba 9 ndo panawashinda kina mama wengi wanaofanya hivyo. Akisuguliwa vya kutosha huko nje, akirudi ndani hawezi kamwe na visingizio vitakuwa vingi kiasi kwamba mme atastuka na kuanza uchunguzi!! Naomba niongeze ifuatayo

  11. Mmeo akistukia nawe ukajua kuwa amestukia - Kiri kosa kisha omba msamaha na hakikisha hawara huyu unavunja naye mahusiano.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I am not sure i know what i want to say....lol... Please say something dear.... Hapa namsumbiri King'asti kwa hamu.....
   
 7. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Eeeeenh, we si ulilalamika eti wanaume tu! Wanawake nao hutoka nje tu na hivyo nao inabidi wapewe guide kama ile ya Boss kwa wanaume!!
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  mie waliwahi kugongana kwenye chumba changu cha kuDEMUlia halafu wote hao ni wake za watu na wanajuana basi hakuna aliyethubutu kurusha ngumi,sasa hivi ni marafiki kupita maelezo. Na log off
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  JF is never boring ..........(chanzo:The Boss)
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  karibuni lunch
  kwa wale mlioolewa na mna mahawara msiogope ku commit a la Serafina na Darlingtone,jilipueni tu!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwa kuongezea.....

  • Hakikisha ni "hit and run"
  • Hakikisha possibility ya kukutana na hubby ni minimal
  • Hakikisha kua at first glance amzidi mumeo...
  • Kama ni kwa ajili ya Mpunga... Then hakuna wasi wasi hapa....
  • Kama ndo umevutiwa ji-commit on the condition kua mko mbali kuonana mpaka iwa cost... Hio ina monitor nidhamu.
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  au vipi mkuu? mi niko kwenye keyboard nasubiria confessions,kwamba kweli mimi huwa nafanya hii maneno lakini kumbe hapa nilikuwa nachemsha.
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmhhh we mkali!
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  duuuuuuuuh kazi ipo?
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  makubwa haya...sasa mnaoa au kuolewa ili iweje mbona dunia ishabadilika sana ndoa si jambo la lazima jamani,na hiyo namba tisa inategemea na shetani mwenzio ana uhusiano wa aina gani
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hilo la mpunga ndo rahisi kumkamatisha mwanamke maana lifestyle inaweza kubadilika mpaka mme ashangae,anaweza kubadili mavazi,saloo,maeneo ya kutembea,vidani etc
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  yashakuwa ya 'ushetani'tena?
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hi kali sasa loh!
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Yote tisa, muhimu ni hili alilosema Mkuu Somoche
   
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  umeolewa Bebii?
   
Loading...