Hela za matunzo ya mtoto ninazotuma, wanakula na jamaa yake

navin dippe

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
47
Reaction score
104
Wakuu,

Kuna binti nilizaa nae mtoto miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa kwa bahati mbaya uhusiano huo haukuweza ku materialise kufikia ndoa nikawa nimeoa mwanamke mwingine yeye hajaolewa hadi sasa nimempangia upande wa nyumba anaishi hapo na mtoto wetu. Tumekua tukisumbuana sana na huyu binti kuhusu matunzo ya mtoto kwa muda mrefu amekua na matumizi mabaya ya pesa nikimpa hela leo siku mbili mbele anaomba tena wakati mtoto anakula shuleni milo miwili jioni ndo anakula nyumbani yeye nimempa mtaji mara kadhaa afanye biashara mtakuja unakatika.

Juzi nimeenda kumuona mtoto nashangaa kulikuta jitu lake hapo, lililala hapo kwenye nyumba ninayoilipia mm na linakula hapo hapo chakula changu, gaya niliambiwa na house girl ninaemlipa mimi mshahara, hii ni kama familia yangu ya pili ninaigharamia kila kitu sasa wakuu hili jamaa lina haki gani ya kuja kula na kulala hapo?

Nikimuuliza mzazi mwenzangu huyo jamaa haishi hapo huwa anakataa anasema anakuja na kuondoka ila mi nina uhakika analalaga hapo Juzi binti kanisumbua wameishiwa hela nikadhani wana emergency nikawatumia laki mbili cha kushangaza usiku wa tatu nikapita pale nikamkuta housegirl na mtoto tu, kumuuliza kulikoni mbona mpo peke yenu akanijibu mama na jitu lake wameenda FM academia iliyokua imekuja kutumbuiza bar ya hapo mtaani.

Ndipo nikagundua laki mbili yangu ndio inayotumika huko maana jitu lake halina kazi na yeye hana kazi.Nikamfuata huko bar nikamtumia sms akatoka nje nilipomuhoji alikua amechangamka na bia akaniporomoshea Maneno makali kwamba namfuatilia sana, kwamba nisimtishe na hicho ki laki mbili nikamuacha nikaondoka zangu.

Tangu siku hiyo nimekata mawasiliano anapiga simu asubuhi hadi jioni sipokei, anatuma sms za kuomba msamaha sizijibu maana nimeshachoka nae sasa wakuu nimekosea kwa uamuzi huu? Pia nauliza nitumie utaratibu gani kuendelea mbele ya safari? Maana nimetaka kumchukua mtoto mara kadhaa lakini mama yake hataki anataka kukaa nae
mke wangu pia huonyesha kukereka ninapomzumzia huyo mtoto hivyo nikapata picha hapendi aje kuishi na sisi.

Nasikitika kulikuta jitu kwenye nyumba niliyonunua, kwenye makochi niliyonunua, kwenye TV niliyonunua mimi limeweka nne likiwa na remote mkononi bila hata aibu halafu halinisalimii. Nitakuja kulitimua humo siku moja.

Msaada wenu please, nishaurini nifanyeje wadau
 
Uko right nenda ustawi WA jamii Fanya enrolment pale / Fanya uwezo wako ni laki 2 kwa mwezi / kila end of month peleka laki 2/with no more talks/
 
kumuhudumia mtoto sawa...ila kumkodishia nyumba huyo mwanamke na kuonyesha kukerwa na fact kuwa ana mahusiano inafanya uonekane kama huo bado ni mchepuko....

Njia rahisi ni kumchukua mwanao kama ameshatimia miaka saba...mara kumi alelewe na bibi kuliko mama (kama unajua tabia yake siyo)
 
FM academia walikuwa wapi weekend hii,
Just asking
 
Noma ni kuwa huwezi kumchukua mtoto coz umekiri mwenyewe unahisi mkeo hamkubali, noma zaidi huwezi monitor hela unayotoa kama inatumika ilivyokusudiwa, noma zaidi ya noma huyo mzazi mwenzio ana haki ya kuishi atakavyo. Pole bro, i think it's the price you gotta pay for your adventures, and thanx for this lesson.
 
Hapa suluhisho ni kukaa na mkeo kumuomba akuruhusu umchukue mwanao. Sioni kwanini akatae kumchukua huyu mtoto ilhali ulimpata kabla ya kuwa naye.
 
Wakuu,

Kuna binti nilizaa nae mtoto miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa kwa bahati mbaya uhusiano huo haukuweza ku materialise kufikia ndoa nikawa nimeoa mwanamke mwingine yeye hajaolewa hadi sasa nimempangia upande wa nyumba anaishi hapo na mtoto wetu. Tumekua tukisumbuana sana na huyu binti kuhusu matunzo ya mtoto kwa muda mrefu amekua na matumizi mabaya ya pesa nikimpa hela leo siku mbili mbele anaomba tena wakati mtoto anakula shuleni milo miwili jioni ndo anakula nyumbani yeye nimempa mtaji mara kadhaa afanye biashara mtakuja unakatika.

Juzi nimeenda kumuona mtoto nashangaa kulikuta jitu lake hapo, lililala hapo kwenye nyumba ninayoilipia mm na linakula hapo hapo chakula changu, gaya niliambiwa na house girl ninaemlipa mimi mshahara, hii ni kama familia yangu ya pili ninaigharamia kila kitu sasa wakuu hili jamaa lina haki gani ya kuja kula na kulala hapo?

Nikimuuliza mzazi mwenzangu huyo jamaa haishi hapo huwa anakataa anasema anakuja na kuondoka ila mi nina uhakika analalaga hapo Juzi binti kanisumbua wameishiwa hela nikadhani wana emergency nikawatumia laki mbili cha kushangaza usiku wa tatu nikapita pale nikamkuta housegirl na mtoto tu, kumuuliza kulikoni mbona mpo peke yenu akanijibu mama na jitu lake wameenda FM academia iliyokua imekuja kutumbuiza bar ya hapo mtaani.

Ndipo nikagundua laki mbili yangu ndio inayotumika huko maana jitu lake halina kazi na yeye hana kazi.Nikamfuata huko bar nikamtumia sms akatoka nje nilipomuhoji alikua amechangamka na bia akaniporomoshea Maneno makali kwamba namfuatilia sana, kwamba nisimtishe na hicho ki laki mbili nikamuacha nikaondoka zangu.

Tangu siku hiyo nimekata mawasiliano anapiga simu asubuhi hadi jioni sipokei, anatuma sms za kuomba msamaha sizijibu maana nimeshachoka nae sasa wakuu nimekosea kwa uamuzi huu? Pia nauliza nitumie utaratibu gani kuendelea mbele ya safari? Maana nimetaka kumchukua mtoto mara kadhaa lakini mama yake hataki anataka kukaa nae
mke wangu pia huonyesha kukereka ninapomzumzia huyo mtoto hivyo nikapata picha hapendi aje kuishi na sisi.

Nasikitika kulikuta jitu kwenye nyumba niliyonunua, kwenye makochi niliyonunua, kwenye TV niliyonunua mimi limeweka nne likiwa na remote mkononi bila hata aibu halafu halinisalimii. Nitakuja kulitimua humo siku moja.

Msaada wenu please, nishaurini nifanyeje wadau
Umri wa mtoto ni miaka mingap?mkeo alikukuta na mtoto?kama alikukuta na mtoto kwanini aoneshe chuki?yaan kwa mtazamo wangu ni vyema mkeo akubali kumlea mtoto ili mawasiliano kati yako na huyo mama mwenye mtoto taishe na gharama za kutunza familia mbili mfanyie kitu kingine.....
 
Pole sana,nadhani mchukue mtoto na kama hataki muachie mwambie huna pesa zakuendelea kulipia hapo anapoishi,bora mtoto aende kwa bibi yake ambae ni mzazi wako wewe,akikata utafute njia nyemngine kwani mtoto anamiaka mingapi? kama age yake ina ruhusu kuka Bording school mpeleke la mamake hataki mpe matumizi unayo hisi haya yanatosha kwa mtoto wako yeye atajipanga....
 
Tumia busara ndogo, muombe mkeo umchukue mtoto na housegal uyo mwanamke anakupenda ila anaona wivu hujamuoa ndo maana anakuumiza roho kwa kutanua na ilo njemba ivo mwachie maisha yake chukua chako, woman are like ATM mashines, withdraw your money live the mashine alone it will continue to read others' cards as as usual.
 
kumuhudumia mtoto sawa...ila kumkodishia nyumba huyo mwanamke na kuonyesha kukerwa na fact kuwa ana mahusiano inafanya uonekane kama huo bado ni mchepuko....

Njia rahisi ni kumchukua mwanao kama ameshatimia miaka saba...mara kumi alelewe na bibi kuliko mama (kama unajua tabia yake siyo)

amchukue mwanae kwa misingi ipi hapo,hebu fafanua...kama mwanamke hajawahi kumuoa sio kwamba mtoto bado yuko na haki kwa mama zaidi?
 
Anahaki ya kuolewa na wewe pia unaruhusiwa kupeleka mtoto kwako au kwenu bila kuharibu jina la mchumba wake mpya
 
Noma ni kuwa huwezi kumchukua mtoto coz umekiri mwenyewe unahisi mkeo hamkubali, noma zaidi huwezi monitor hela unayotoa kama inatumika ilivyokusudiwa, noma zaidi ya noma huyo mzazi mwenzio ana haki ya kuishi atakavyo. Pole bro, i think it's the price you gotta pay for your adventures, and thanx for this lesson.

you said it.....
 
mara nyingi ni vigumu kwa mtu kueleza jambo kwa upande wake akalieleza kama lilivyo bali wengi huwa tunapenda kuliweka katika mtizamo unaotuvutia tulinda sisi wenyewe tunaohadithia.

maisha ni magumu kuliko mtu ambaye hajawahi kupata shida maishani mwake na akahitaji msaada kutoka kwa watu wengine tena ambao hata hawana connection yoyote na pale wanaposhindwa kumsaidia anajisikiaje.

huyo mtu kama ulizaa naye makanke mlikuwa wapenzi, mbali na hilo yuko na mwanao.

msaidie kujitegemea lakini si kwa kumpa mtaji eti fanya biashara bali mfungulie biashara ambayo mwanzoni umfanye kama mfanyakzi wako umsimamie mpaka atapopata maarifa ya kuiendesha biashara ndio umwambie ni yake.

hii itamsaidia hata mwanao

kama unamuweka kama nyumba ndogo yako mueleze kuwa aachane na hao jamaa wengine lakini kama mahusiano yako na yeye ni kumlea mtoto tu basi unaweza kumuongoza kama unaona anamahusiano na watu ambao unahisi hawawezi kutoa malezi kwa mwanao lakini kubwa ni kumpatia security ya maisha kwani kwa kumpatia fedha kila mwezi mtu lazima afikirie kuwa hivi siku moja nikikosa hizi fedha itakuwaje.

kumsusia ni jambo ambalo kiukweli hutumii busara kwani fedha unayompa ni matunzo ya mwanao sasa mama kakuudhi unawasusa unadhani mtoto wako anaishije?

kwangu mimi huwa naamini naweza kukosana na mzazi mwenzangu na tukagombana lakini ugomvi huo siwezi kumnyima mzazi mwenzangu na mtoto wangu chakula au mahali pa kulala. naweza nisitishe mambo yasiyo ya muhimu katika maisha kama mazungumzo, mahusiano lakini sio chakula, tiba kama ni ugonjwa na sehemu ya kulala.

Back
Top Bottom