Anataka nimzalie mtoto ilihali mimi na yeye tuna mwezi mmoja kwenye uhusiano

virginity

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
882
907
Nimatumaini Yangu kuwa mu wazima
Mimi ni mdada, imekuwa ni mwezi sasa tangu nifahamiane na huyu kaka na kuamua kuingia nae kwenye uhusiano aliniuliza kuhusu mtoto mwanzoni nami sikumficha nilimwambia ninae lakini baada yakumwambia hivo ameanza kunisumbua sikuizi eti nimzalie nayeye ili apate chata.

Nazani wanawake wenzangu mnajua tabia za hawa wanaume jinsi zinavyobadilika hata zaidi ya vinyonga naomba mawazo yenu ila matusi na dharau sitaki. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimatumaini Yangu kua mu wazima
Mimi ni mdada, imekua ni mwezi sasa tangu nifahamiane na huyu kaka na kuamua kuingia nae kwenye uhusiano aliniuliza kuhusu mtoto mwanzoni nami sikumficha nilimwambia ninae lakini baada yakumwambia hivo ameanza kunisumbua ckuizi eti nimzalie nayeye ili apate chata.
Nazani wanawake wenzangu mnajua tabia za hawa wanaume jinsi zinavyobadilika hata zaidi ya vinyonga.
Naomba mawazo yenu ila matuc na dharau ctaki. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni incubator?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja sikushauri kuhusu suala la sindano kutokana na my own reasons and discoveries , pili USIZAE kwanza , huyo jamaa kama anataka kuweka chata tena ndani ya one month of relationship technically atafanya awezalo kukutia hyo mimba so be care, Tatu huyo jamaa inaonekana either ni personal consciousness au msukumo kutoka kwa jamaa zake juu yako, muhimu jitahadhari nae na ikiwezekana mpe msimamo wako juu ya hilo jambo kama amekupenda kweli ataheshimu maamuzi yako lakin kama ataendelea na huo uamuz, live that niggar

KAABAD THE GREATEST
 
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom