Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

virginity

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
882
907
Habari zenu wanajukwaa,

Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.

Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.

Note: Sitampa tena mwanaume hela
 
Easy sana anza kuvaa kiasili ikiwemo kuweka rasta na kuvaa kirastafari take some time kujua pia imani ya rastafari tt.jpg tt2.jpg tt3.jpg
Baada ya hapo kazana sana upunguze mwili na achana kabisa na stori za mikorogo,jifunze hobby za kipuuzi kama kujua vitabu maarufu ,kujua wanyama na tabia zao ,kuogelea ,yoga etc

Baada ya hapo pendelea kwenda baa na hotel zao si mbaya ukiambatana na kambwa kadogo kazuri padon kama ni beach ,focus ya kwanza iwe kupata marafiki wa kike kwanza ili wakukubali hakikisha mkitumia bill ya elfu 30 na mko wanne lipia elfu kumi ,utawaona watavyokusogelea hawapendi gold diggers baada ya hapo wao wenyewe watakusogeza kwa kaka zao usiwape attension sana pata muda wa kuchagua jockel (karata dume) kisha pambana na hali yako ,hope umenisoma
 
Habari zenu wanajukwaa.
Kwanza nashukuru sana kwa kuntia moyo ktk Uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado cjakata tamaa naitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(mzungu) Tafadhali Dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu
Note: sitampa tena mwanaume ela
Andika tangazo google kwa lugha ya Malkia.
 
Easy sana anza kuvaa kiasili ikiwemo kuweka rasta na kuvaa kirastafari take some time kujua pia imani ya rastafariView attachment 592292 View attachment 592293 View attachment 592295
Baada ya hapo kazana sana upunguze mwili na achana kabisa na stori za mikorogo,jifunze hobby za kipuuzi kama kujua vitabu maarufu ,kujua wanyama na tabia zao ,kuogelea ,yoga etc

Baada ya hapo pendelea kwenda baa na hotel zao si mbaya ukiambatana na kambwa kadogo kazuri padon kama ni beach ,focus ya kwanza iwe kupata marafiki wa kike kwanza ili wakukubali hakikisha mkitumia bill ya elfu 30 na mko wanne lipia elfu kumi ,utawaona watavyokusogelea hawapendi gold diggers baada ya hapo wao wenyewe watakusogeza kwa kaka zao usiwape attension sana pata muda wa kuchagua jockel (karata dume) kisha pambana na hali yako ,hope umenisoma
Thank u dear
 
ha
Habari zenu wanajukwaa.
Kwanza nashukuru sana kwa kuntia moyo ktk Uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado cjakata tamaa naitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(mzungu) Tafadhali Dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu
Note: sitampa tena mwanaume ela
hahahahahahah basi umenifurahisa sana, hapo kwenye NB naona unaanza anza kuelewa nini maana ya kuwa mbebez
 
Habari zenu wanajukwaa.
Kwanza nashukuru sana kwa kuntia moyo ktk Uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado cjakata tamaa naitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(mzungu) Tafadhali Dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu
Note: sitampa tena mwanaume ela
Unamaanisha K iwe nyeupe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom