Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Shalom, Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa. Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali...
1 Reactions
7 Replies
824 Views
Nilikua nikisikia kwamba msichana akikeketwa (genital mutilation) huwa hisia zinapungua na kusababisha atulie na mpenzi 1 ebhana kipindi nipo home tulipata mpangaji wa kirangi kutoka kondoa tena...
2 Reactions
12 Replies
951 Views
Ukweli mchungu: Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi. Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake...
22 Reactions
83 Replies
8K Views
Huu uzi hauna notes nyingi karibuni.
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Shoga yetu mmoja wa mtaani alikuwa anaishi na mtoto wa kaka yake ni binti wa miaka 13 darasa la sita! Huyo dada alikuwa na mpenzi mtaa wa pili sometimes analala kwa dada kwahiyo kabinti kake hako...
8 Reactions
136 Replies
19K Views
Wakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu. Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wan JF? Nafahamu asillimia kubwa humu jamvini ni wale wametoka kwenye familia za kawaida.sasa swali langu ni hili.je wakati unaanza mapenzi,umeshawahi kula tunda uchochoroni au vichakani?na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
  • Closed
Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
16 Reactions
689 Replies
22K Views
Hawa viumbe hawana formula hivi wasichana hupagawa na nini haswa kwa mwanaume. Mgegedo mkubwa? Handsome? Six pack? Pesa? Akili? Unene? Kitambi? Urefu? Utundu? Ubahili? Starehe? Usuper star? Au...
3 Reactions
139 Replies
12K Views
Wadau, Haya ni mawazo yangu na sitaki kulazimisha mtu kukubaliana au kupingana nayo. Asilimia kubwa ya wadada wa mitandaoni ni waongowaongo na wajanjawajanja sana. Anaweza kukwambia yupo ubungo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka...
10 Reactions
19 Replies
4K Views
🚨🇵🇹 Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ? Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi...
2 Reactions
16 Replies
971 Views
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa...
17 Reactions
62 Replies
2K Views
Anonymous member Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa...
22 Reactions
185 Replies
14K Views
Jamani hawa ni watu wa hali ya chini lakini wana mapenzi ya dhati tofauti na hawa wadada wengine.Hawachuni sana ani ukiwapa buku wanaridhika.Wanajua kutunza na ndo mana unakuta hata mama mwenye...
3 Reactions
94 Replies
23K Views
Hapa mtaani kuna dada mmoja anafanyakazi mjini (nadhani kariakoo) amejenga nyumba yake. Sasa huyu dada ana msichana wa kazi mzuri anaridhisha sura, umbo, na chura. Umri wake kama miaka 17 kuelekea...
9 Reactions
96 Replies
5K Views
Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom