ushawahi............vichochoro ni?

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
Habari wan JF?
Nafahamu asillimia kubwa humu jamvini ni wale wametoka kwenye familia za kawaida.sasa swali langu ni hili.je wakati unaanza mapenzi,umeshawahi kula tunda uchochoroni au vichakani?na je ni uzoefu gani uliupata?ukilinganisha na kukutana nyumba ya wageni au sehemu ambayo ina staha?
nawasilisha
 
Obvious uzoefu utaoupata ni wa kufanya ngono vichochoroni. We unadhani utapata uzoefu gani mwingine?
 
DUh, umenikumbusha mbali, wakati wa utoto ndo balee inaanza 2liwahi do kwenye pagare(nyumba isiyoisha), tukacheza kombolele tukaishia ndani ya tanuru la matofali ya kuchoma!

Nikiwa na akili zangu timamu cku moja tukataka ku do kwenye benchi mikadi beach mida ya saa 5a.m hivi(mpaka sasa sielewi ilikuwa ni nini)
Funga kazi c tukakamatwa maeneo ya ikulu tupo kwenye pozi hatukuwa tuna do ili pozi liliwashtua wale maafisa usalama, wacha watupe misukosuko,bahati nzuri nilikuwa mjanja tukamalizana. Huwa namwuliza mke wange zilezilikuwa akili zetu au nini?
 
Habari wan JF?
Nafahamu asillimia kubwa humu jamvini ni wale wametoka kwenye familia za kawaida.sasa swali langu ni hili.je wakati unaanza mapenzi,umeshawahi kula tunda uchochoroni au vichakani?na je ni uzoefu gani uliupata?ukilinganisha na kukutana nyumba ya wageni au sehemu ambayo ina staha?
nawasilisha

Una mpano wa kurudia tena mambo ya uchochoroni?
 
ya vichakani very exciting...blood pounding in ur temples.....fear of being cauvht just a cocktail of emotions wich makes k.u.m.w.a.g.a soooooo enjoyableeee
 
nakumbuka kuna moja nilipigia kwenye jumba ambalo halijaisha halafu kumbe yule binti alivyosikia namwambia nimekojoa yeye akajua ni kukojoa mkojo akanikojolea suruali ikalowa sema tanesco ya kibongo nayo ilinisevu nikaingia uchochoro wa kwanza wa pili wa tatu nikaenda na ukuta nikaingia home na kubadilisha suruali fasta

au hii nigeitolea thread binafsi nini?
 
Popote???? Kanisani? Msikitini? Ofisini? Hospitalini? Makaburini? Hapa ndipo kwenye tofauti ya binadamu na mende.


Hazina Yako ilipo ndio na Moyo wako ulipo.
Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Watu wanamatukio humu, full ma eksipiriensi.:peep:

Mi sijawahi hiyo kitu zaidi ya kukagua tu maliasili(kutomasa)! Ila nimewahi kushuhudia tukio la ajabu sana na lilinitia aibu sana hadi nikashindwa kuangalia!!

tulikuwa kwenye bus la kutoka k/koo kwenda mwenge mida ya saa9 adhuhuri basi si akapanda denti wa zanaki ambae alikuwa kajaaliwa makalio na kiuno kizuri,alikuwa kavaa uniform yupo na mwenzie. Mara nikamuona kwa nyuma kijana wa kiume ambae nae pia ni denti akasimama nyuma ya yule denti wa kike na kuanza kumbaishia ,kadri gani inavyoenda ndio akazd kuchanganya kwani skirt yake ilikuwa imebana na kijana anazdi kujisugua kwa nyuma yake! Nikawa najiuliza ina maana mwanamke hashtuki tu??!! Au anaona raha?!! Na yule kijana haogopi na anasikia raha gani zaidi mbele ya kadamnasi?? Haika niliona ni aibu kubwa sana kwa wanaume wote mle!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom