Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

Kiburi maana yake Ana Arrogance na arrogance ni superiority complex

Kwahiyo anahisi Anakumudu.

Hivyo MTU Kama huyo tatizo lake ni kubwa Sana unabidi kumpa therapy ili apone.

Kumuacha au kumfukuza inaweza kuwa sio njia ya busara Sana.

MTU dhaifu anakuwaga na sifa hizi hapa.

@ kulalamika
@ kulaumu
@ kiburi
@ Umbea
@ kukosoa

So mke wako ni dhaifu Sana Ila ukiendelea kugombana naye maana yake wewe ndo utakuwa dhaifu Sana kuzidi hata yeye.
 
Haya mawazo huwa yana ninyima usingizi. Hivi unadhani kila mke wa JF hana uwezo ki fedha mpaka umlaze njaa? Umrudishe nyumbani kwa vile hana shughuli mjini (naamini wengi wanatumia JF wapo mjini)! Cc cocastic
Suala la kujilisha sio dogo kama unavyodhani, linaambatana na majukumu mengine mengi na ya muhimu ambayo akiachiwa mwanamke mwenye kiburi, anaumwa presha na madonda ya tumbo
 
Kiburi maana yake Ana Arrogance na arrogance ni superiority complex

Kwahiyo anahisi Anakumudu.

Hivyo MTU Kama huyo tatizo lake ni kubwa Sana unabidi kumpa therapy ili apone.

Kumuacha au kumfukuza inaweza kuwa sio njia ya busara Sana.

MTU dhaifu anakuwaga na sifa hizi hapa.

@ kulalamika
@ kulaumu
@ kiburi
@ Umbea
@ kukosoa

So mke wako ni dhaifu Sana Ila ukiendelea kugombana naye maana yake wewe ndo utakuwa dhaifu Sana kuzidi hata yeye.
Unaongea simple sana therapy gan utampa?
 
Unaongea simple sana therapy gan utampa?

Wewe ndo unaongea simple

Unajua matibabu ya therapy ndo matibabu makubwa katika kumfanya MTU abadilike .

Jitahidi uwe na maarifa kiburi ,dharau, kutokuwa submissive yote haya ni matatizo ya kisaikolojia na yanapona ikiwa huyo mgonjwa atapewa tiba.

Usikariri njia za kiswahili ,kufukuza ,kupiga n.k hizo njia hufanywa na watu dhaifu.
 
Mpaka unamuoa ulishindwa kumjua kua ana kiburi na umteme kabla haujajicommit kwake!? Jengeni tabia ya kuchunguzana na kujipa mda kabla hamjafanya maamuzi magumu ya kuishi pamoja.

Kuna vitabia vya mwanamke lazima utavijua tu hata aigize vipi kabla ya ndoa. Wazungu huziita "Red Flags". Hizo ukiziona inatakiwa uweke hisia pembeni upambane na uhalisia sasa kama mwanaume na ku-abort mission ya ndoa haraka.

Haya turudi ktk mada yako. Hakuna mbinu ya kuishi na mwanamke mwenye kiburi zaidi ya kuachana nae. Mwanamke mwenye kiburi maana yake hakuheshimu huyo. Sasa ya nini kugandana na jitu ambalo halikuheshimu. Utaishi kwa stress na utakufa mapema.

Unaweza sema utamnyoosha tabia kwa kumfanyia hivi ukashangaa na yeye ana mipango ya kukunyoosha zaidi. Wanaume wanahitaji mwanamke anaemuheshimu tu, vitu vingine ni ziada.
 
Haya mawazo huwa yana ninyima usingizi. Hivi unadhani kila mke wa JF hana uwezo ki fedha mpaka umlaze njaa? Umrudishe nyumbani kwa vile hana shughuli mjini (naamini wengi wanatumia JF wapo mjini)! Cc cocastic

Bado kumnyima chakula na kumlaza njaa haiwezi kuwa sababu ya yeye kubadilika.

Matatizo makubwa ya bindamu ni yale ambayo hayaonekani kwa macho .

Matatizo yanayoyumbisha ndoa ,na kuzalisha migogoro huwa ni matatizo ya AKILI.

Ukiona mke wako au mume wako ameanza kuwa na kiburi ,dharau ,kulalamika ,kulaumu Sana ,unabidi kujua tayari Giza limeshamvaa na huwezi kuondoa Giza kwa wewe kuwa Giza.

Unachobidi kufanya ni wewe kuwa positive tu.
 
Angalia chanzo chake ndio u deal nacho mf,labda pesa kama ana pesa kuliko wewe pambana tafuta zako halafu fanya kama hujali uki mu ignore mwanamke anachanganyikiwa ukimpa attention you make her queen atakusumbua hadi mwisho
Pesa hana na Leo asubui nimemnyanganya smart phone maana nilinunua ili kumpa heshima ananiona mi kolo
 
Back
Top Bottom