RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,776
Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.
Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.
Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.