Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna baadhi ya shughuli zinazo tupa mkate wa kila siku zinasababisha umalaya au kuchochea kuchepuka. Sio wote kuna baadhi wanazitumia kama fursa kwa lengo lao maalumu. 1. Bodaboda 2. Wapaka...
1 Reactions
10 Replies
295 Views
Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu...
9 Reactions
57 Replies
752 Views
Kwa mimi nimeshawahi kukatisha safari baada ya kuona hili gari hili sitoboi nalo Kigoma, safari lazima iishie njiani tu maana sio kwa ma mushkeli haya. Nilipata mpenzi huko nyuma tukapendana...
34 Reactions
644 Replies
82K Views
Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na...
12 Reactions
46 Replies
603 Views
Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie...
13 Reactions
83 Replies
783 Views
Mapenzi ni jambo linaloweza kuanza na kuisha hata kwa watu walio kwenye ndoa ila hapa Tanzania ni kama mwanamke akishaolewa hairuhusiwi mapenzi kwa mwanaume aliyemuoa yaishe. Inashangaza watu...
14 Reactions
116 Replies
1K Views
Habar za usiku huu wakuu NItaeleza kwa ufupi. Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja. Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Asante kwa JF humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi... Kisa changu...
140 Reactions
613 Replies
121K Views
Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa...
2 Reactions
0 Replies
113 Views
Wasaalam wanajamvi, Ombi langu nalipeleka moja kwa moja kwa Tanzania Heads of Schools Association (TAHOSSA) au kwa Kiswahili 'Umoja wa wakuu wa shule za Sekondari Tanzania.Hapa nilielekeze kwa...
1 Reactions
2 Replies
126 Views
Chupi ndio hunimaliza kabisa,yaani nikiona tu chupi imevaliwa oooh,dushe na hisia zinahama kabisa. kwako wewe huwa unavutiwa na nini?
5 Reactions
13 Replies
321 Views
Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata...
3 Reactions
7 Replies
98 Views
Leo nilikunywa pombe sana napenda sna kunywa Kilimanjaro hau safari sasa Kuna demu mmoja jirani nikamtia sound akajaa aisee sio poa Leo nimejikuta na nguvu sio poa bao la kwanza nimelitoa dakika...
11 Reactions
35 Replies
793 Views
LGBTQ+ are united. Feminists are united. Patriarchists are united. Billionaires are united. The ruling class is united. The clergy is united. Even bandits are united. The only group that does not...
5 Reactions
67 Replies
410 Views
Uzi umekamilika wakuu....
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa...
7 Reactions
24 Replies
395 Views
USHAURI KWA WANAWAKE • “Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri.” • “Akikusaliti, si kosa lako hata kidogo.” • Hivyo ndivyo mwanaume huonyesha upendo wake; amini zaidi...
2 Reactions
21 Replies
303 Views
Nimeamua sasa nitafocus sitaki tena kupenda wala kuwaza mapenzi tena. Nitajipenda mwenyewe nanitajipambania kivyangu uhun sitaki tena i will be single forever till i die.
7 Reactions
41 Replies
492 Views
Hatimaye nimevuna magunia 15 ya mpunga; kwa sasa natafuta mke wa kuoa aje tusaidiane kula mavuno yangu. Kama wewe ni mrembo, na una uwezo wa kumshawishi equation x ili akuruhusu uje ule mavuno...
16 Reactions
85 Replies
1K Views
Watu wa humu mpo .? Humu wengi sana mnaonekana mnahamu ya mapenzi na wapenzi wenyewe hamna wanaoeleweka . Kama huna je upo tayari kulea au kuishi maisha ya kawaida upewe watoto wa elfu mbili...
23 Reactions
261 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…