Ushauri kwa vijana wenzangu.

Ushauri kwa vijana wenzangu.

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,915
Reaction score
3,740
Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata mzuri au m baya. ila kiukwel tusiige kwa waliofel tujarib kwa waliofaulu.
 
1780309046180.jpg
 
Zungumzia kuolewa ili uwashauri wanawake wenzio, hatutaki kampeni saivi.
 
Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata mzuri au m baya. ila kiukwel tusiige kwa waliofel tujarib kwa waliofaulu.
Sheria nambari uno. Usimshauri mtu ambaye ajakuomba ushauri.
 
Back
Top Bottom