Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu ukiambiwa ukae jela jambo ambalo litakufanya utoke jela ni mpenzi wako kukwambia ana kupenda je unadhani utakaa jela miaka mingapi? No:matusi chit chat NAWASILISHA WADAU
2 Reactions
40 Replies
417 Views
Huu Ujinga wa Kulea Mikoj ya Wanaume Wenzenu Kisa Upendo Uishe, Single M. Komaza Shingo Uone Kama Hujafukuzwa ngoja niwape ukweli nyie wanawake mliozalishwa na kutelekezwa mkaokotwa. Hivi...
12 Reactions
40 Replies
710 Views
Naked City na Ikungulyabashashi ni Location tha magreat thinker wawili humu JF, nao ni Eqlypz na Nyani Ngabu.... Naweza nikasema kwa muda ambao nimekuwa nikiperuzi humu Jamvini, nimekuwa...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Salam. Wakuu moja kwa moja kwenye mada Wakuu nina demu wangu yapata sasa miezi minne kabila lake ni Mjita Kiuhalisia hana shida kwani ananifanyia kila kitu ambacho mwanamke anatakiwa kumfanyia...
13 Reactions
56 Replies
1K Views
japo umeumizwa sio kila mtu atakaye kuumiza yupo atakaye kupenda. Mapenzi matamu ukipata mtu sahihi ila machungu ukipata asiyekufaa.tuzidi tu kujipa imani...
6 Reactions
21 Replies
259 Views
To the love of my life: Thank you for being my friend my best friend my life mate my everything! You’re not just my love sweetheart you’re my destiny my heart a perfect match. No words can...
24 Reactions
226 Replies
2K Views
Mzazi unajukumu la kushauri tu katika mahusiano ya mtoto wako sio kumpangia nani aoe au nani hasioe kadhalika na upande wa kuolewa. Sio wewe ndio kuwa kifua mbele fulani simtaki oooh ukiwa nae...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake...
11 Reactions
43 Replies
711 Views
Mzuka Wana jf Mke wangu ni wa kijaluo mazee analala na full jinziii na mimi nimeamua, nalala na suti. Nimefunga tai, shati nachomekea, suruali nachomekea kwenye soksi za Yanga Mkanda...
12 Reactions
19 Replies
400 Views
Lazima uanze na busu huku ukiyapekecha madodo huku ukishuka mdogo kwenye kitovu. huku ukiya pigapiga makebo hapo kwenye upaja.hadi steam inakupanda kinyama...
3 Reactions
11 Replies
244 Views
MWANAUME Sheria no 1 Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae! Sheria no 2 Dada...
2 Reactions
1 Replies
166 Views
Mahari ni desturi na utamaduni ambapo mwanamume hutoa zawadi au mali (kama vile pesa, mifugo, au vitu vya nyumbani) kwa familia ya mwanamke kama ishara ya heshima na shukrani wakati wa kuelekea...
23 Reactions
146 Replies
2K Views
Jamani kina member ana hiyo picha nimepiga nikiwa na mpenzi wangu wa miaka hiyo mzenji tafadhali NAOMBA alie nayo anipatie nilijisahau nikafuta baadhi ya documents nika futa na hiyo tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Wakuu shida ni nini unakuta wazazi wako wamepambana kukulea, mpaka unafikia hatua unajitambua Unafikia umri wa kuoa mambo yanabadilika kwa wazee wako hata sabuni haziendi, wewe upo busy na...
5 Reactions
31 Replies
328 Views
Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote...
2 Reactions
22 Replies
391 Views
MASWALI YA MSINGI KABLA HUJAAMUA KULETA KIUMBE HAPA DUNIANI; 1. Kwa nini umeamua kumleta kiumbe hapa duniani? 2. Huyo kiumbe/mtoto una mission yoyote unayotaka aje aiendeleze? 3. Faida zipi...
6 Reactions
28 Replies
343 Views
Wakuu Kuna mwanamke nimekutana naye nikasema nijaribu kuomba namba nilivyomuomba no akanambia naujua tu unataka uni tongoze halafu akanipa no. Hivi wakuu huyu dada alaikum ana maanisha Nini...
4 Reactions
23 Replies
252 Views
Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya. 1.Tukale nyama choma 2.Tunywe(japo mi...
11 Reactions
105 Replies
771 Views
Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo. Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada...
6 Reactions
23 Replies
367 Views
Kama ni watoto wanazaliwa weusi plus.bora tu uoe m bongo mwenzako maana wana unafuu. kama nikubadilisha oa hata mzungu maana wao weupe.ila mwafrika ambay...
2 Reactions
4 Replies
109 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…