Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!.
Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA...
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya...
Unaweza ukashangaa hili, ila uhalisia nikwamba Ili Mwanamke Akupende kwa dhati Daima ni lazima huko mwanzo uhakikishe kwamba Ulimpitisha kwenye Mateso ya Kihisia.
Mtu anaweza niuliza, kwahiyo...
Suala la Kumpa Mwanamke Pesa au kumkopesha Pesa, ni Uamuzi wa Kiuchumi na sio Uamuzi wa Kihisia
Ndiooo, Unajua huenda unampenda, au upo naye, lkn kiuchumi haupo vzuri, ndo umuache? Ndo akuumize...
Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa...
Ivi umeshawah kutana na Jidada mmoja mwenye uchumi wake kukuzidi yaan wee unajiweza lkn yeye kakuzidi na umemuelewa kinoma yaan??
Au tu ni Mke wa mtu sema umemuelewa ??
Sasa leo nawapa siri...
Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako.
Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa...
Mi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor.
Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye...
Ilikuwa mwaka 2006 ndio nimemaliza chuo na kuajiriwa kwenye Taasisi moja ya fedha.
Siku moja nikapigiwa simu na mdada, akasema amekosea namba, hakika kwangu alikuwa mgeni kabisa. Kwenye maongezi...
Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo...
Niko Iringa natafuta mke wa kuowa miaka yangu ni 50,nilikuwa nina mke lakini kapata matatizo ya changamoto za akili imebidi nimludishe kwa wazazi wake,mda mwingi nimeishi inje ya inchi toka mwaka...
Habari ndugu zangu
Naomba hii nipate uzoefu kutoka kwa wajuzi wa mambo, Inakuaje mtu ameolewa halafu anadai akopeshwe pesa lakini anakupa shariti la mmeo asifahamu kama kachukua pesa.
Swali ni...
Wanaume wadhaifu/Nice guys kwenye mahusiano au ndoa ni wale wanaokosa uwezo wa kusimama kama viongozi, kufanya maamuzi sahihi, au kubeba majukumu yao ya kihisia na kifamilia.
Udhaifu huu hapa...
Nina miaka 30 sitaki vibint maana mimi mzee nataka singo matha wa watoto wawil alafu niongeze wawil wa kwang wote watakuwawakwangu. nataka atakaye ridh...
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa.
Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke...
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu...