Siri ya nguvu na akili?

Siri ya nguvu na akili?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Kutoshiriki mapenzi wala kuwa na mahusiano na watoto wa kike.kunaongeza akil na nguvu kulko kawaida. na tena kunaondoa msongo wa mawazo.sio kama walio watumwa wa hilo tendo wanaokufa mapema kisa pressure. na pia inaondoa kuruhusu mapepo kuingia mwilini.kama umebanwa sana piga tu nyeto ila ngono hapana. ngono inapunguza uwezo wako wa kufikiri na wakujijenga.
 
1781664390821.gif
 
Ni kweli kabisa
 
pia inaondoa kuruhusu mapepo kuingia mwilini.kama umebanwa sana piga tu nyeto ila ngono hapana. ngono inapunguza uwezo wako wa kufikiri na wakujijenga.
Muda huu ungeutumia kutafuta mbinu ya kukuingizia walau Million 20 kwa siku ingekusaidia sana kuliko kukaa hapa unaandika upumbavu wako
 
Back
Top Bottom