Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 217
- 412
Mapenzi ni
1 Kujali
2 huruma
3 uvmilivu
N.k
Ongeza na wewe
1 Kujali
2 huruma
3 uvmilivu
N.k
Ongeza na wewe
Wachapwe kisawa sawaSouth Africa anapigwa tu huko kombe la dunia
Huna huruma na waafrika wenzio?Wachapwe kisawa sawa
Hao watafute bara laoHuna huruma na waafrika wenzio?
Kapigwa 1 dk41 tusitoke kwenye mada tafadhariWachapwe kisawa sawa
Thread ifungwe tukacheki mechiUmesahau mapenzi pesa
Kwani kuna kula hapa mpaka tubaki ?Kapigwa 1 dk41 tusitoke kwenye mada tafadhari
Mechi ipiThread ifungwe tukacheki mechi
Watu tuko busy na mpira mapenzi hatuwaziiKapigwa 1 dk41 tusitoke kwenye mada tafadhari
Ureno na aseno 😂😂Mechi ipi
Wacheze jana na leo au marudioUreno na aseno 😂😂
Kumbe jana Arsenal walicheza?Wacheze jana na leo au marudio
Hahaha mi naangalia tu Live Scores matokeoWatu tuko busy na mpira mapenzi hatuwazii