Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Inakuwaje unakutana mtu kwenye dating site/app unajaribu "kueleweka" (kutongoza) kwake.
Yeye anakuambia yuko pale kuongeaongea tu (wenyewe wanaita kuchat) na watu na sio kwa mambo ya kudate (kutongozana).
Wakuu hii kitu imekaaje?
Je ni kweli mtu anaweza kujisajiri kwenye dating site eti ili aongeeongee tu?
Au huu ni ujasiriamali mpya unaolenga kupandisha dau la mtongozwaji.
NB: Wengi wao huko ni single mothers.