Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Relationships Do not Work Nowadays Because : 👉You Are Dating People Who Are Still In Love With Their Ex's, 👉You Suffer From "insecurities" you Didn't Create. 👉You Are Dating People Who Are...
1 Reactions
0 Replies
406 Views
Hili ni gumu kufikirika, ila ukikaza fuvu lako vema utang'amua! Nimetaja ndoa, ila of course ni kwenye mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume na mwanamke Tumezoea kuambiwa ndoa ni ya wapendanao...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya...
72 Reactions
352 Replies
28K Views
Japo kila mtu ana mapendeleo yake ila jamani mapaja manene manene nayapenda yananichanganya.wengine wanapenda wembamba eti kwa sabab wanachangamka kwenye game na rahisi kuwakunja..nyie acheni...
2 Reactions
4 Replies
497 Views
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya...
31 Reactions
243 Replies
15K Views
Kwa hali hii nioe kweli? Kuna uncle wangu juzi kanywa sumu kisa amemfumamia mke wake. Huyo mke wake ni kicheche wa hatari hata mm hapa factor nimekimbiza sana lile gari, Kipindi hicho jamaa...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama...
17 Reactions
44 Replies
7K Views
1. Bill Lugano 2. GENTAMYCINE 3. Chizi Maarifa 4. Deep Pond 5. Viatu vya samaki Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije...
34 Reactions
387 Replies
17K Views
Leo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma..... Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati...
26 Reactions
138 Replies
6K Views
Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu. Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa...
27 Reactions
131 Replies
11K Views
Nisaidie kutoa jibu
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Ni mdada ana mchumba wake wana mwaka sasa Jamaa amekua na tabia ya kuwasiliana kwa siri na wanawake na dada akigundua jamaa anaomba msamaha yanaisha. Jumamos wazazi wa mume wamepanga kuja kupanga...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Thread closed
1 Reactions
67 Replies
7K Views
kuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae bint amepanga...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja 1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza? 2) Nilitolewa mahari mil...
12 Reactions
153 Replies
18K Views
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani? mfano rafik angu kuna...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked... hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Hope mko poa guys Iko hivi Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali... Kabla ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa. Yeye anachojua...
12 Reactions
143 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…