Wanandoa ninaswali kwenu

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka
 
Huyo aliekusimulia ungemdadisi tatizo ninini au walilazimishwa kuoana.
 
Jaman nimeuliza wanandoa tu tusio na ndoa hatutakua na majibu sahihi ndio maana wengine mnauliza tena maswal tulien wenye ndoa waje nanyi mnaweza pata chochote
 
Wiki ni ndefu sana hata kama tuna majukum angalau siku mbili tatu

Achilia mbali hata mue na mtoto wiki bado ndefu hapo wakae waulizane shida ni nn
 
Mwanaume hajakamilika, ndani ya mwili wake hauko sawa;pia wewe mwanamke usiwe kama gogo,muwekee mitego/mazingira ili mwenzi wako awe na hisia na wewe.
 
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka

Huwa kuna wakati hutokea kama kuna zimwi linapita hivi! Hamna ugomvi, hakuna tatizo lolote lakini kama mnaogopana kufanya jambo!!

Siku mkipata wasaa wa kujadili tatizo nini kila mmoja ataanza na "mi nilijua wewe....!!" (Umekasirika/huna hamu)

Mkiiendekeza hiyo hali mtamaliza mwaka bila kuingiliana na mwishowe mtazalisha ugomvi wa ukweli!
 
Back
Top Bottom