Wanandoa nisaidien hili swali

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja

Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
 
Mume ATAAMBATANA na mkewe, nao hawa wawili watakuwa mwili mmoja.

Hapo tatizo lao kubwa hawajakubali kuambatana pamoja, mume bado anadhani yuko peke yake wakati amekwisha kuoa. Lakini pia hujasema mke naye anachangamoto gani, yawezekana alishaonyesha dalili ya kutotaka ndugu hapo kwake.
 
Yapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.

Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless unamambo yako unayoyaficha, lakini mgeni yoyote kwa upande wowote ule ni baraka, ili mradi una nafasi ya kumu accommodate. Kwa hy hilo halihitaji ushirikishwaji iwe kwa upande wowote ule, kwako ama kwake.

Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
 
Poa poa nimepata kitu
 
Mume ATAAMBATANA na mkewe, nao hawa wawili watakuwa mwili mmoja.

Hapo tatizo lao kubwa hawajakubali kuambatana pamoja, mume bado anadhani yuko peke yake wakati amekwisha kuoa. Lakini pia hujasema mke naye anachangamoto gani, yawezekana alishaonyesha dalili ya kutotaka ndugu hapo kwake.
Ok boss
 
Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
 
Hapo juu nimechapia kidogo je ntakuwa nimekosea maana kipindi cha nyuma nilikaa na familia kubwa wamemaliza kusoma na wapovyuoni ila sasa nataka nikae Mimi na familia yangu sina cash ya familia kubwa ntakosea nikimwambia wife sitaki familia kubwa?
 
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja

Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
Kwanza lazima mjue hali zenu ziko vipi kama mtaweza kuwa handle na nafasi yenyewe inatosha?? halafu huyo anayetaka.kuja kuishi kwako anakuja na mpya gani au ana lengo gani, ni.muhimu sana kujadili.nyinyi wawili mpate kumpokea mgeni kwa furaha na mapenzi tele. La kama.kuna kikwazo reasonable( siyo cha uchoyo lakini) mtaahirisha kupokea mgeni.
 
Kuzungumza na kukubaliana ni jambo zuri sio kushtukizana
Huwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.
 
Hapo juu nimechapia kidogo je ntakuwa nimekosea maana kipindi cha nyuma nilikaa na familia kubwa wamemaliza kusoma na wapovyuoni ila sasa nataka nikae Mimi na familia yangu sina cash ya familia kubwa ntakosea nikimwambia wife sitaki familia kubwa?
Hapo patamu utawambia Nendeni nyumbani?? itaonekananunawafukuza, huo ndio uzazi wenyeqe jinsi ya kuwa counsel wakakuelewa nila kuleta conflict. Infact mtu anaejielewa kama alikaa kwa sababu a masomo akimaliza masomo yake anatakiwa ajiongeze asepe.
 
Tatizo hii ngoma kila mmoja na namna yake ya kuicheza hivyo ukiona kwa rafiki yako iko hivyo jua ni dhahiri ye na huyo mume wake ndio namna yao hiyo waliyojizowesha kuanzia chini kwani ingekuwa wamejizowesha kupeana taarifa isingetokea hicho kilichotokea.

Hivyo avumiliage tu hapo kwani yeye pia ni mmoja ya waliosababisha hicho kinachotokea.
 
Huwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.

Yes ndonachosema hii nikulingana na mfumo wa maisha yetu majadiliano muhimu
 
Back
Top Bottom