Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu. Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa. Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida. Sifa zangu Umri 30
2 Reactions
7 Replies
975 Views
Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi...
2 Reactions
0 Replies
282 Views
Kwema wakuu, Yaani demu wangu kanisaliti na mtu mwingine. Yaani kakaza mpaka mi ndo imebidi niombe msamaha. Dah hatari sana kwakweli
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam Nina miaka 33 Dini: I am Christian Elimu Diploma Administration Sijaajiriwa. Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue SINA mtoto Nahitaji...
19 Reactions
75 Replies
3K Views
Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job. Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye. Hali ya upweke inanijia.. Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige...
28 Reactions
106 Replies
4K Views
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat? Iko hivi... Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat...
17 Reactions
160 Replies
5K Views
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi. Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
31 Reactions
225 Replies
10K Views
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika...
89 Reactions
209 Replies
27K Views
Baada ya kutumia kipindi cha maisha yako kujijenga, kuvuja jasho usiku na mchana, sasa umejipata au umeanza kuona mwngaza basi usifanye kosa la kuwa retirement plan ya mwanamke mpumbavu ambae...
60 Reactions
180 Replies
8K Views
Maybe bila yeye am just another lonely soul😔 I wonder au Niko na pretend kutotuma message mpaka aanze yeye and yet am dying inside. I think I'm acting tough for something I shouldn't, Iko hivi...
32 Reactions
498 Replies
21K Views
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini...
12 Reactions
84 Replies
36K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
35 Reactions
229 Replies
13K Views
Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Bei elekezi ya kuhonga mwisho Tsh ngapi? Maisha yamebana Sana aisee
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora. Amekuwa...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Jumamosi iliyopita tulikuwa na semina kanisani kwetu, semina hiyo iliyohusu mambo ya mahusiano mapenzi hadi ndoa ilichangamsha sana vijana wanaosubiria ndoa, maswali mbalimbali yaliulizwa na...
12 Reactions
92 Replies
6K Views
MCHOKOZE KIDOGO MPAKA AKASIRIKE ILI UJUE HEKIMA YAKE IKOJE 😊 Moja ya mbinu nzuri ya ki intelejensia ya kuijua hekima ya mtu ni kumchokoza makusudi mpaka akasirike 😊 Usiogope maamuzi yake...
5 Reactions
12 Replies
809 Views
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko...
22 Reactions
142 Replies
18K Views
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
1 Reactions
2 Replies
401 Views
Back
Top Bottom