Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.

Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii mirathi anaiwinda.

Hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nini.
 
Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Ukishakuwa na hela halafu hujui utaifanyia nini amini kwamba soon utajikuta hauna kitu.

Ilitakiwa wakati upo kwenye mchakato wa kuipata upange kabisa chakufanya.
 
Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
Tafuta sehemu nzuri nunua viwanja vyako kama vi 3, kutokana na sehemu hiyo.hakikisha havina mgogoro, hakikisha una hati. Piga kimya. Kama kuna kitu cha kuchangia ndani ya familia kisichozidi mil 2 changia.

Usipofata ushauri wangu utalia kwa uchungu hapo baadae. Eti kisa anajua sasa hivi una pesa ndo mapenzi moto moto? Huyo anataka pesa hakuna cha mapenzi.

N.b aridhi ndo kitu pekee chenye thamani ambacho hakihitaji usimamizi wa mara kwa mara.
Huwajui wanaume anaweza kukudanganya ukampa hesa na akazila na mwanamke mwingine.
 
Siku hela imetoka nilioigiwa cm kwenda mahakamn kufunga jarada alikuwepo nimerudi akaja chumban kwangu maana kila mtu alikua analala chumbani kwake! mmepewa kias gani nikamwambia m28,, nikaona kapata kiwewe kesho yake et nimuazime mil 2 afanyie biashara atanipa nilicheka kwa sauti badae nikamwambia naomba nilale hajaniambia tena.
 
Ushauri mzuri sana .
Ukizubaa hyo pesa utalisha mchepuko wa shemeji soon
 
STUKAAAA! Jambazi huyo yuko mawindoni anakulia timing ili azinyakue. Usicheze mbali na pw yako ya bank.

Miez kazaa nyuma niliondokea na baba mzazi,,, tukaanza process za mirath, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu,
Sasa huyu shemej yenu simuelew hapo nyuma alibadilika akawa haelewk tangu mirath imetoka kawa mpole mapenz motomoto simuelew kaamua kujirekebisha au nii hii mirath anaiwinda
hapa nimetulia pesa nimeweka bank sijajua naifanyia nn.
 
Siku hela imetoka nilioigiwa cm kwenda mahakamn kufunga jarada alikuwepo nimerudi akaja chumban kwangu maana kila mtu alikua analala chumbani kwake! mmepewa kias gani nikamwambia m28,, nikaona kapata kiwewe kesho yake et nimuazime mil 2 afanyie biashara atanipa nilicheka kwa sauti badae nikamwambia naomba nilale hajaniambia tena.
Duh mkuu kua makini, kama mlifikia hadi kutengana vyumba asije kukunyonga usiku huyo.. dunia imebadilika sana.

Muombe Mungu asee maana pesa ni shetani mtu anaeza fanya chochote ili aipate, tena umemtajia nyingi hivyo... Mungu akutangulie mkuu!!
 
Siku hela imetoka nilioigiwa cm kwenda mahakamn kufunga jarada alikuwepo nimerudi akaja chumban kwangu maana kila mtu alikua analala chumbani kwake! mmepewa kias gani nikamwambia m28,, nikaona kapata kiwewe kesho yake et nimuazime mil 2 afanyie biashara atanipa nilicheka kwa sauti badae nikamwambia naomba nilale hajaniambia tena.
Anaweza hata kukutoa roho,, ila jamani😥
 
Siku hela imetoka nilioigiwa cm kwenda mahakamn kufunga jarada alikuwepo nimerudi akaja chumban kwangu maana kila mtu alikua analala chumbani kwake! mmepewa kias gani nikamwambia m28,, nikaona kapata kiwewe kesho yake et nimuazime mil 2 afanyie biashara atanipa nilicheka kwa sauti badae nikamwambia naomba nilale hajaniambia tena.
Wewe ndo unaish nae Una mjua roho yake husije uka mpa pesa haka tokomea nazo kusiko julikana
 
Siku hela imetoka nilioigiwa cm kwenda mahakamn kufunga jarada alikuwepo nimerudi akaja chumban kwangu maana kila mtu alikua analala chumbani kwake! mmepewa kias gani nikamwambia m28,, nikaona kapata kiwewe kesho yake et nimuazime mil 2 afanyie biashara atanipa nilicheka kwa sauti badae nikamwambia naomba nilale hajaniambia tena.
Ukimpa hela umeumia

Yaani ukijifanya mapenzi yamerudi unapigwa nankitu kizito paaaaaaap ukizinduka karudi chumbani kwake na hela huna.

Kama haina matumizi iweke fixed account au liquid ya utt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom