Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje?
Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake...
[emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo...
Dear tatian,
You know that I love you,
Am there for you. Will never disrespect you forever and ever
Your are a good wife and you know how much I love you
Going to your birthday December month...
Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki...
Habari wanaJF.
Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.
Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina...
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la...
Si vibaya tukashirikishana na kukumbushana haya masuala kwa sababu ni jambo la kawaida katika maisha na ni jambo pendwa Sana baada ya pesa. Ukiona kilichosahaulika ongeza cha kwako
KABLA YA...
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu.
Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula...
Kwema Wakuu!
Andiko hili ni mahususi Kwa MTU mwenye umri wa miaka 18 kuendelea. Chini ya hapo asome Chini ya uangalizi wa Wazazi.
Kutembea na Wanawake wengi kunakufanya uchukulie Sex kama...
Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo.
Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia...
Habari zenu,
Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.
Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..
Sikiliza bro...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake.
Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye...
Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija.
Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana...
Sabal kheri waungwana.
Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili.
Katika maongezi hayo...
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila lake...
SABABU YA MKEO KUJIACHIA AKIWA KWA MCHEPUKO LAKINI KWAKO ANAJIBANA NA KUKUPUNJA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Anajibana na kukubania!
Anakuletea pozi na Kukupunja!
Hajitumi na anakuwa Mvivu...
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi.
Wanawake wengi wa...
Wakuu,
Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia
Akanitajia majina yake tulivyowasilina
Nikamwambia ninahisiana naye akawa...
I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU
Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA...
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.