Leo nimelambwa kibuti, umbea umeniharibia penzi

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,887
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la kudumu.

Ila kwangu ni poa sina cha kufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani. Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva na kudondokea kwangu nipo serious nilimpenda.

Ila kwa leo nimelimwa rato, Sasa mie single tena kwa hapa Tanzania

Nashangaa tu.

Nahesabu mabati.
 
"Hili ni tangazo la kimkakati"
E-gfimWXoAY4blm.jpeg
 
Humu nilikuwa double
Una miaka mingapi? Kuna jamaa anatafuta mwanamke wa kuoa ila vigezo awe na elimu ya Diploma na umri usiozidi miaka 32.

Kama unataka mahusiano ya ndoa ni-PM nikuunganishe naye. Kama ni mahusiano ya kimapenzi mtafute Madenge Twitter.
 
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye .
Ila nilichogundua sikuwa serious basi
Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachart chart umbeya naumbeya huu umeniharibia penzi lakudumu.

Ila kwangu nipoa sina chakufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani.
Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva nakudondokea kwangu nipo serious nilimpenda .

Ila kwa leo nimelimwa ratoo.
Sasa mie single tena kwa hapa tz .
Nashangaa tu.
Nahesabu mabati .
Hayo ni ya kawaida ,ss iv n piga nikupige
 
Back
Top Bottom