Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke 😂😂😂😂😂😂😂
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Rafiki yangu mwema yawezekana maisha unayoishi si maisha uyatamaniyo uje uyaishi 1. Yawezekana umeumizwa sana na yule mtu uliyemwamini sana, umepata hasara, umefail au yawezekana nuru na tumaini...
2 Reactions
7 Replies
572 Views
Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu. #Madodi ✍🏼
8 Reactions
11 Replies
819 Views
Ukiona kwenye mahusiano yako hata ukikaa siku zaidi ya tatu au wiki bila ku-do na mkakutana na bado ukatumia nguvu nyingi kama saliva au vilainishi vingine ili mambo yawe sawa basi jua hauko peke...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata Mwanamke akupenda kuna upendo utaupata, atakusaidia na atasimama na...
1 Reactions
0 Replies
351 Views
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja...
56 Reactions
324 Replies
31K Views
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
15 Reactions
166 Replies
12K Views
Habarini? Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke" "Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka...
40 Reactions
379 Replies
16K Views
Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote. kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA . Miaka flani...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri. Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu...
53 Reactions
206 Replies
9K Views
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa. Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula...
9 Reactions
87 Replies
3K Views
Watakuja watu wajinga hapa kutetea wanawake wajawazito kutembeana na magauni ya nusu uchi siyo akili zao bali ni kiumbe kilichopo tumboni ila jiulizeni kwani Mama zetu hizo mimba hawakuzibeba...
18 Reactions
87 Replies
5K Views
Huo ndio ukweli, msiwe mnatishwa na machozi ya wanawake hata siku moja. Mwanamke ni mtu katili sana ambae anaweza kukushangaza matendo yake hadi ukaduwaa! Fikiria mtu anabeba mimba bila...
23 Reactions
89 Replies
3K Views
Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Rafiki yangu mwema yawezekana maisha unayoishi si maisha uyatamaniyo uje uyaishi 1. Yawezekana umeumizwa sana na yule mtu uliyemwamini sana, umepata hasara, umefail au yawezekana nuru na tumaini...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Nyie wenye birthday mwezi huu, mshukuru sana kilichofanyika valentine day ya mwaka uliozaliwa. #Madodi
1 Reactions
1 Replies
394 Views
Wakuu habarini za mchana. Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye...
9 Reactions
95 Replies
4K Views
KISA CHA KWANZA Niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke na niliendekeza kumpenda kupindukia na hilo ndiyo lilikuwa kosa langu kubwa. Mwanamke alikuwa anapata pesa na vitu vingi vya garama tu na...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho. Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom