Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada...
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups..
Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee...
Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku.
Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo.
Wanakuja...
Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee.
Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano.
Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado...
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa.
Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili...
Kuna vitu Dem anaweza kufanyia ukahisi kama umeigiziwa movie.
Ipo hivi Kuna Dem nilikuwa ktk mahusiano nae kwao anapoishi(Kwa mamdogo wake) siyo mbali San na mim nilipo panga. Nimedate nae kama...
NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO.
Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo...
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia...
Habari ya jumamosi wadau.
Niko bongo kwa kitambo tuu, leo mchana niliingia gereji kukagua toyo yangu iko poa kuingia kitaa? Sasa wakati nachokonoa mavitu kwenye boneti nikakwama mahali...
Aisee sijui niseme ya kwamba Nina nuksi au sijui nisemaje sijui siku kadhaa baada ya kunusurika kuabika baada ya kutembea na mke watu nikasema poa haina shida nikasusa kutotembea na mke wake mtu...
Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi...
Jamani mizigo ina raha yake jamani, haswa kuiangalia....
Vuta picha binti kapanda, kama futi tano point nane,
Juu mwembambaaa......
Katikati ana bonge ya zigo, limewekwa ndani ya kipedo...
Habari za mchana vijana wenzangu,
Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25, kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la punyeto au kujichua kwa...
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.
Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali...
Kosa kuzaliwa mwanaume ingekewa saivi unahangaika magengeni na kikapu ukitafuta mapochopocho ya kumpikia mzee jioni au uko jikoni na kanga moja ukimuandalia mzee
Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"
Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja...
Waungwana na wasio waungwana nawasalimu.
Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana...
Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo.
Ni tukio kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.