***VEROSSA***
Inside a Verossa you'd think its some sleek automobile
There she lost her virginity, her dignity and her guile,
Inside a Verossa, she hopped in a lift home
There she was...
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na...
Nimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu...
Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya...
Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo.
Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na...
PESA NI NZITO KULIKO UPENDO
Hakuna Mwanamke Anayevutiwa na Mwanaume Anayetembea kwa Miguu, "Upendo wa Dhati ni Hadithi ya Kufikirika.
Wakuu, humu JamiiForums kuna watu wanajifariji kwa utopolo...
Habari wakubwa wangu,
Leo nimekaa hapa na moyo umenichoma kama kisu. Siwezi hata kulala. Nipo njia panda, maisha yamenifanya nistuke na kuogopa kila kitu. Rafiki yangu wa karibu sana, Juma...
Ebwana eeehh kama kawaida wana jf.Vayulence🔥🔥🔥🔥kwa WAZEE WA NDOA LIALIA,PEACE IS NEVER AN OPTION!!!
Katika pitapita zangu kwenye kusomasoma nimekutana na huyu kiumbe wa kuitwa comrade Arthur...
Wakuu Bado naendelea na maombolezi ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija kimodoo, maymivu ni makali sana nayopitia kuhusu huyu mwanamke siamini ,mpaka saivi hata kazini Leo Mchina amenipa...
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka...
Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama...
Kuna siku nilienda alipopanga demu wangu.Kwa kifupi alinikaribisha vizuri sana hadi tukajikuta sote tukiwa katika nyakati za furaha sana utani mwingi,story Kwa sana na mipango mingi na tulikula...
Miaka 10 iliyopita nilikuwa na uwezo wa kubeba ndoo mbili kubwa za maji kama nimebeba kamzigo. Leo hii ukinipa ndoo moja hatua tano tu nasimama kupumzika kama mzee wa miaka 60.. nilikuwa nakimbia...
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap...
Habarini Wadau,
Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:-
1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata...