SABABU YA WAZUNGU KUPENDA WANAUME WENYE MlDREAD

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,326
Wazungu wanapenda wanaume wenye dread wakiamini kuwa asili ya mtu mweusi ni nyani.
Kwa hiyo wenye mi dread wako jirani zaidi na nyani kwa kuwa yale marasta huwa wakati wa shughuli hutekenya kama manyoya
 
Ukichunguza sana utakuta wazungu wengi huvuta mibangi hivyo huamini kuwa marasta wote wanavuta hiyo kitu hivyo kuwafanya kusogezwa karibu na huduma zaidi.
 
Hio inakuwa TreadMark ya wasaniii, Wazungu huamini kuwa wasanii, huwa MAFUNDI kwa mambo yoooote!!!!!
 
Wazungu wanapenda wanaume wenye dread wakiamini kuwa asili ya mtu mweusi ni nyani.
Kwa hiyo wenye mi dread wako jirani zaidi na nyani kwa kuwa yale marasta huwa wakati wa shughuli hutekenya kama manyoya

acha ujinga
 
wazungu,wanawapenda Marasta kwa sababu kuu moja,they belive that Rastars ni Peace lover peoples,na ni raia wema,wanaamini ni watu ambao awana makosa ya jinai na awajawai fungwa thus why nywere zao ni ndefu cause azijanyolewa na askari magereza
 
Ukichunguza sana utakuta wazungu wengi huvuta mibangi hivyo huamini kuwa marasta wote wanavuta hiyo kitu hivyo kuwafanya kusogezwa karibu na huduma zaidi.

Wala hujakosea Mangi % kubwa ya hawa watu wanaona ukiwa na rasta ni mvuta bangi Mimi mwenyewe nilikuwa na rasta na wote niliokuwa nikiwapata ilikuwa lazima waniulize kama nina bangi nikisema sina naulizwa wewe rasta gani huvuti bangi.Na mara nyingi hata hao marasta wenyewe wanaowapata ni wale wa ovyo ovyo sio rahisi kwa mtu mwenye marasta kupata mzungu wa maana aliye responsible katika maisha.Na ndio sababu ya mimi kuyanyoa marasta.
 
Duuuh! nimechoka, maana naona kizunguzungu ngoja nikakate dreads zangu wakuu maana mmenichanganya!:confused2:
 
Hii nimeona sana hapa maeneo ya Via Via - Arusha, vijana wengi ni marasta na wako na wazungu.... sasa sijuin what is the reason lakini naamini hayo yote yanayosemwa yanaweza kuwa kweli...
 
wazungu,wanawapenda Marasta kwa sababu kuu moja,they belive that Rastars ni Peace lover peoples,na ni raia wema,wanaamini ni watu ambao awana makosa ya jinai na awajawai fungwa thus why nywere zao ni ndefu cause azijanyolewa na askari magereza

Chipukizi nimependa hii avatar yako:lol:
 
wazungu,wanawapenda Marasta kwa sababu kuu moja,they belive that Rastars ni Peace lover peoples,na ni raia wema,wanaamini ni watu ambao awana makosa ya jinai na awajawai fungwa thus why nywere zao ni ndefu cause azijanyolewa na askari magereza

Chipukizi hiyo Avatar yako inaonyesha sijui unacheza kwaito au kiduku?nimeikubali
 
wazungu,wanawapenda Marasta kwa sababu kuu moja,they belive that Rastars ni Peace lover peoples,na ni raia wema,wanaamini ni watu ambao awana makosa ya jinai na awajawai fungwa thus why nywere zao ni ndefu cause azijanyolewa na askari magereza

Samahani wakuu natoka nje ya mada! Yaani Chipukizi hiyo avatar yako............nimecheka hadi basi! Duh!
 
Back
Top Bottom