nawatakia week-end njema

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
naamni track hii from the amazing BAHATI BUKUKU itabariki week-end yenu!

DEDICATED kwa mpakwa mafuta wa bwana MCHUNGAJI MASANILO!
 
Last edited by a moderator:
You too Cheusimangala you have a great one nimepata mwaliko naenda kwenye jumba la kaka mkubwa kwenye engagement party ya kijana wetu usikose ku tune DSTV jumamosi kuanzia saa moja usiku.
 
karibuni kistana siku ya Jumamosi, tutakuwa tunamsindikiza mdau anawowa!
 
You too Cheusimangala you have a great one nimepata mwaliko naenda kwenye jumba la kaka mkubwa kwenye engagement party ya kijana wetu usikose ku tune DSTV jumamosi kuanzia saa moja usiku.

mambo yako classic,ukifika huko usiache kumpa DJ cd ya huu wimbo belive me waalikwa watabarikiwa sana!
 
Nimewasiliana na Rev Masanilo ndio atafungisha ndoa pia na CD anayo tayari ila huyu Rev Masanilo mambo yake ndiyo yananipa wasiwasi nafikiria nimteme kwenye hiyo safari achelewi kufika huko na kuanza kudemand mambo yake
 
ni vizuri kama yeye ndo atafungisha hiyo ndoa coz nasikia ndoa zote alizofungisha mchungaji masanilo hazijawahi kuvunjika wala kuyumba!
@bold,hilo ndo tatizo la mchungaji masa anadai eti watumishi hulia madhabahuni!
 
Ukimtema nani atafungisha ndoa ama umeongea na Askofu amekubali ndio maana wataka kumtema Rev Masanilo?
 
Tatizo la Rev Masanilo kuna thread leo sisi tulikuwa tunachangia NO yeye anasema YES sasa hapo ndio nina wasiwasi na huo utumishi wake asije akafika huko akaanza kudai, Askofu nadhani atakuwa ameisharudi kutoka Vatican maana alikuwa ameenda kwenye maombi ya uchaguzi
 
ni vizuri kama yeye ndo atafungisha hiyo ndoa coz nasikia ndoa zote alizofungisha mchungaji masanilo hazijawahi kuvunjika wala kuyumba!
@bold,hilo ndo tatizo la mchungaji masa anadai eti watumishi hulia madhabahuni!

Ngoja nitazungumza na Askofu kwa ushauri zaidi nitaenda kumuona kule Mbagala Spiritual Centre kabla sijaondoka
 
tatizo la askofu hafungishi ndoa mpaka itangazwe miezi 4 na kupima ukimwi ni lazima wkt Rev. masa yeye hana hayo,yaani akishawauliza kama mnapenda mkajibu wote ndio, anafungisha ndoa then anasema you may kiss the bride!
 
Ha ha ha at the same time Rev Masanilo udenda unamtoka anatamani huyo bride yaani huyu Rev Masanilo sijui nani alimpa hilo daraja
 
Mimi hukataa mawazo, na wala siwezi kumkataa mtu. Huwezi kujua ni lini mtu ambaye kila siku anakuja na mawazo mabaya atakuja na wazo zuri, wala lini mtu ambaye kila siku anakuja na mawazo mazuri atakuja na wazo baya.
 
sijui umekosea njia mpendwa wangu?
 
Back
Top Bottom