Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?
Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili.
Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi...
Jamaa mmoja alimuaga mke wake kuwa anatoka kwenda kununua chips. Mkewe alikuwa bafuni anaoga. Muda mfupi baada ya jamaa kutoka mkewe akasikia mlango unagongwa. Akawahi kwenda kufungua, kumbe...
wewe kaka uko na mkeo mmelala chumbani (kama kawaida yako uchi kabisa).pia unaishi na mdogo wako ambaye naye ana chumba chake cha kulala.Usiku huo mkeo alikufuma na meseji toka kwa mwanamke...
Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?
According to the survey, over half of all financial cheaters admitted hiding cash (58%) or minor purchases (54%). NEFEs Beck says this is particularly concerning, as small lies often compound...
Ndugu zangu niwewaza sijapata jibu,kwa kifupi mimi ni mwanaume kijana niliyehitimu masomo chuo kikuu miaka miwili iliyopita,nina mchumba naye anasoma chuo kikuu binafsi hapa hapa tz,nilimfaham...
Tukio la hivi punde la jamaa yangu wa karibu kuvamiwa na majambazi na mkewe kubakwa limezua majonzi makubwa ndani ya familia hiyo. Mwezi kama mmoja uliopita rafiki yangu alivamiwa na majambazi...
Normally marriage comes out of love... but through experience, durability of the most marriages is a matter of decision and no longer love... Now, if marriage came out of a true love, does true...
sifa.
1. Awe DADA mlokole .
2. Awe mzima wa roho na mwili.
3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.
4. Awe na elimu yoyote.
5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).
Deadline 20 january 2012...
I hope mnaendelea vizuri wana JF
Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani...
Nina rafiki yangu ameniomba ushauri afanyeje juu ya hili.Ana mpenzi wake ambaye amemvisha pete ya uchumba ila anasema kuwa msichana amebadilika kupita kiasi na tabia nyingine za ajabu2 ambazo...
Najua uko bize siku hizi. Sometimes hujatandika kitanda, natafuta mashuka mwenyewe, natandika. Sometimes hujaniwekea maji bafuni, nachemsha mwenyewe napeleka. najua uko bize ndo maana nakusaidia...