Udanganyifu kuhusu kipato na matumizi ya pesa kwa wapenzi huvuruga mahusiano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udanganyifu kuhusu kipato na matumizi ya pesa kwa wapenzi huvuruga mahusiano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mpasuajipu, Jan 15, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  According to the survey, over half of all financial cheaters admitted hiding cash (58%) or minor purchases (54%). NEFE’s Beck says this is particularly concerning, as small lies often compound over time to become increasingly larger and more harmful deceptions. Of the offenders, 30% have hidden a bill, 16% have hidden a major purchase, 15% had a secret bank account, 11% lied about their debts and another 11% lied about the amount of money they earned.


  [​IMG]


  Huu ni utafiti uliofanyika huko Marekani na kubaini kuwa wapenzi au wanandoa wengi wanadanganya kuhusu vipato vyao hali inayopelekea hata kuvunjika kwa ndoa au urafiki.

  Je kwa wabongo hali iko vipi?
  Naomba michango yenu na kama imekugusa sehemu mojawapo useme wapi uliwahi kumdanganya mpenzi wako au mkeo.

  Nawasilisha.
   
Loading...